Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Andiko lako lisingegusia sura lingekosa maana???
Mungu alivyo wa ajabu hao wanawake ambao ni wazuri katika macho ya wengi (hata macho yangu pia) asilimia kubwa hawana la maana mjini wanaamini muonekano kuliko walichonacho ndani wanaishia kuliwa tu.
Ni sawa mkuu ingeleta maana lakin sikuwa na nia mbaya niliongea hali halis maana namujua huyu dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu maua ndo kina jay d sabab ana kipaj ya ndani kabsa
 
Nyota haiwezi kuonekana mchana.

Mbabe wa mchana ni JUA.
 
Andiko lako lisingegusia sura lingekosa maana???
Mungu alivyo wa ajabu hao wanawake ambao ni wazuri katika macho ya wengi (hata macho yangu pia) asilimia kubwa hawana la maana mjini wanaamini muonekano kuliko walichonacho ndani wanaishia kuliwa tu.
hata usome mpaka wapi kama sura ni mbaya ni mbaya. muangalie prof lipumba au magufuli walivyo na sura mbaya. je elimu yao imewatakatisha?
 
Angekua hata na chura walau..doh..

Kanyimwa vyote.
 
Back
Top Bottom