Maua Yangu kwa moyo mkunjufu kabisa nayamwaga kwa Kharid Aucho "the tank"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hongera kwa wachezaji wa Yanga wote kwa hii hatua adimu mliyotinga haswa kwa taifa letu Tanzania kwa Mara ya kwanza kufika hatua ya fainali.

NALIA NGWENA nimetazama mechi ya Rivers United nyumbani na ugenini na mechi ya marumo gallants nyumbani na ugenini hakika Khalid Aucho "the tank'" kiungo wa mpira kafanya kazi kubwa sana

Nguvu yake na ability ya kupiga pass mpenyezo yaani pass zenye macho huyu mwamba kwa Sasa ndiyo namba nane Bora katika kikosi Cha yanga.

Vita ya nguvu anaiweza vizuri sana nadhani viungo wa Rivers na marumo gallants watakua wanamuota Kila wakilala

Khalid Aucho the tank haimbwi sana lakini kazi yake pale dimba la Kati ni Moto wa kuotea mbali weka mbali na watoto.

Kwa moyo mkunjufu NALIA NGWENA namwaga maua kwake Sina muda wakusubiri mpaka astaafu.
View attachment 2626135
 
Inaumiza tunamkosa kwenye mechi ijayo ya fainali
 
Huyo mwamba ni balaa. Ana nguvu, akili na pia ana pasi za macho.
Jana iliniuma sana kupewa kadi ya njano.

Anyway, Yanga timu kubwa tutashinda bila yeye kuwepo.
Nilitamani sana, refa aende kwenye V.A.R ili atengue maamuzi yake ya kadi. Ila ndio hivyo hatocheza mechi ya kwa Mkapa. Ni mchezaji muhimu sana kwenye kuanzisha mashumbulizi na kwenye ukabaji wa timu.
 
Upo sahihi mkuu ile kadi refa alikulupuka akaichomoa tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Refa hakukurupuka. Aucho kama mchezaji mkubwa hakutakiwa kumprovoke mchezaji aliye nje ya uwanja Kwa kumpigia mpira makusudi. Kama yule mchezaji angekuwa ndani ya uwanja kusingekuwa na kosa. Mbali ya hilo alivyomfuata kumuuliza akamsukuma.
 
Yule mchezaji OTLADISA namba kumi na moja na Aucho ni Nani aliyeanza kumsukuma mwenzake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hongera kwa wachezaji wa Yanga wote kwa hii hatua adimu mliyotinga haswa kwa taifa letu Tanzania kwa Mara ya kwanza kufika hatua ya fainali.

NALIA NGWENA nimetazama mechi ya Rivers United nyumbani na ugenini na mechi ya marumo gallants nyumbani na ugenini hakika Khalid Aucho "the tank'" kiungo wa mpira kafanya kazi kubwa sana

Nguvu yake na ability ya kupiga pass mpenyezo yaani pass zenye macho huyu mwamba kwa Sasa ndiyo namba nane Bora katika kikosi Cha yanga.

Vita ya nguvu anaiweza vizuri sana nadhani viungo wa Rivers na marumo gallants watakua wanamuota Kila wakilala

Khalid Aucho the tank haimbwi sana lakini kazi yake pale dimba la Kati ni Moto wa kuotea mbali weka mbali na watoto.

Kwa moyo mkunjufu NALIA NGWENA namwaga maua kwake Sina muda wakusubiri mpaka astaafu.
View attachment 2626135
Uko sahihi kabisa
 
Yule mchezaji OTLADISA namba kumi na moja na Aucho ni Nani aliyeanza kumsukuma mwenzake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ile kadi ni ya kujitakia, na ilikuwa haina sababu. Aucho kambamiza mcheza wa Marumo na mpira. Ni kweli Aucho alianza kusukumwa ila Aicho hakupaswa kuangaika nae kwasababu tayari anakosa la kutokuwa muuungwana ( fair play) kwa kumbamiza na mpira. Unapofanyiwa kitendo ambao sio wa ungwana usilipizie, ukilipizia mtakula kadi wote au wewe uliyelipizia.
 
fbbae943-eb4f-4795-a7e2-de7b5032a42e.jpg

Hii mechi hakuwepo kwan
Samahani lkn[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom