NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hongera kwa wachezaji wa Yanga wote kwa hii hatua adimu mliyotinga haswa kwa taifa letu Tanzania kwa Mara ya kwanza kufika hatua ya fainali.
NALIA NGWENA nimetazama mechi ya Rivers United nyumbani na ugenini na mechi ya marumo gallants nyumbani na ugenini hakika Khalid Aucho "the tank'" kiungo wa mpira kafanya kazi kubwa sana
Nguvu yake na ability ya kupiga pass mpenyezo yaani pass zenye macho huyu mwamba kwa Sasa ndiyo namba nane Bora katika kikosi Cha yanga.
Vita ya nguvu anaiweza vizuri sana nadhani viungo wa Rivers na marumo gallants watakua wanamuota Kila wakilala
Khalid Aucho the tank haimbwi sana lakini kazi yake pale dimba la Kati ni Moto wa kuotea mbali weka mbali na watoto.
Kwa moyo mkunjufu NALIA NGWENA namwaga maua kwake Sina muda wakusubiri mpaka astaafu.
View attachment 2626135