Mauaji katika Fungate (je ni kweli Shrien Dewan alipanga mauaji ya mke wake?)

Story nzuri sana.....kama kuna nyingine umeshaweka humu tusaidie link zake ndgu.(Ya muuaji Regan nshaipitia ,nayo ilikuwa nzur sana)
 
Hii story inasisimua sana... jana nimelalala ikawa inanirudia mara mbili mbili kichwani!!
 
Unahisi kwa uliyosoma dewan alishiriki kweli?
Hapana sijaona uwezekano wa yeye kushiriki yale mauaji, nimeishia kumuonea huruma sana hasa pale alipokiri kushiriki vitendo vya ngono vya jinsia moja!!

Alafu baada ya Tongo kuthibitika na mahaiama kwamba maelezo yake mengi yalijaa uongo, alichukuliwa hatua gani?
 
Hakuna hatua aliyochukuliwa zaidi ya kukaa gerezan kwa miaka hiyo michache aliyopewa baada ya lile deal aliloingia na polisi. Maana jaji alifutilia mbali kesi juu ya dewan kwa ushahidi ambao haukuwa na nguvu so mambo ya akina tongo yalikuwa hayahusiki wao walikuwa washahukumiwa kabla
 
Kwa muono wangu nahisi huyo bwana alihusika kabisa na kifo cha mkewe kwanini wezi wamshushe yeye na wamng'ang'anie mkewe, ila sasa sababu za kumuua ndio haziniingii akilini daah! ni kesi ngumu japo Polisi walimua kuifanya kuwa nyepesi kwa kuingia makubaliano na hasa dereva wa tax maana ndie anaejua kila kitu
 
Hapana sijaona uwezekano wa yeye kushiriki yale mauaji, nimeishia kumuonea huruma sana hasa pale alipokiri kushiriki vitendo vya ngono vya jinsia moja!!

Alafu baada ya Tongo kuthibitika na mahaiama kwamba maelezo yake mengi yalijaa uongo, alichukuliwa hatua gani?
Amekiri wapi ? Kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja?
 
Kwa muono wangu nahisi huyo bwana alihusika kabisa na kifo cha mkewe kwanini wezi wamshushe yeye na wamng'ang'anie mkewe, ila sasa sababu za kumuua ndio haziniingii akilini daah! ni kesi ngumu japo Polisi walimua kuifanya kuwa nyepesi kwa kuingia makubaliano na hasa dereva wa tax maana ndie anaejua kila kitu
Kwa jinsi nilivyoitathmini hii kesi dereva tax anahusika kwa kiasi kikubwa sana na hta ushahidi unaonesha ye ndye alicheza picha lote ....na picha lilianza jamaa alivyokuwa anaenda maduka ya kubadilishia fedha na hyo dereva tax na inavyoonesha baada ya dereva tax kuona jamaa anavyofanya miamala akaingiwa tamaa na kuwastua jamaa zake wa kitaa waje wafanye uvamizi na kumpora pesa hyo jamaa ,sema jamaa zake wakamwangusha baada ya kuchukua hela tu wakafanya na mauaji kbsa
 
Kwa muono wangu nahisi huyo bwana alihusika kabisa na kifo cha mkewe kwanini wezi wamshushe yeye na wamng'ang'anie mkewe, ila sasa sababu za kumuua ndio haziniingii akilini daah! ni kesi ngumu japo Polisi walimua kuifanya kuwa nyepesi kwa kuingia makubaliano na hasa dereva wa tax maana ndie anaejua kila kitu
Duh..

Kuna mtu akisoma story yote hiyo anaweza kudhani jamaa alishiriki mauji kweli..duniani tumetofautiana sana uelewa..
 
Back
Top Bottom