The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
Hao wanayasaliti hata mafundisho ya huo uislam wenyewe!Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
Hao wanayasaliti hata mafundisho ya huo uislam wenyewe!