Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
was an Irish-American organized crime boss and FBI informant Whitey" Bulger Jr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusibishane yawezekana hakuna unalolijua kuhusu hizi Gangs ingia google halafu search about American Gangs rivalies halafu ubaki na knowledge utakayoipata
Hivi nini ni motive ya kuingia kwenye gang?Kuna Crips na Bloods. Ndani humo kuna sets mbali mbali kulingana na mtu anapotokea. Kutokana na upinzani, wanachama wa Bloods hawatumii herufi 'C', wala Crips hawatumii herufi 'B', especially not in naming their sets. Suge alikuwa member au associate wa Bloods (you can't miss the red suits), siyo hiyo uliyoitaja.
For your info pia, Bloods and Crips can hang out, kwa sababu sometimes hawa watu wamekuwa pamoja. Vile vile kunaweza kuwa na tofauti kati ya sets tofauti ndani ya gang moja.
Ukihitaji elimu zaidi kuhusu gangs and their politics, usisite mzazi.