Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

Mwizi mwenye master keys! Tuliolizwa Karibu kufilisika na wezi wa aina hii, kiukweli tuna ganzi, sihisi chembe ya huruma dhidi ya marehemu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hili suala la mdogo wako kuuliwa kisha ufanye mazungumzo siyo rahisi, najua hata wewe mleta mada huwezi, yawezekana kuna siasa mnataka kuzipitishia katika hili.
Siasa gani? Yeye kaeleza, wewe unasema siasa, unapinga wakati haupo eneo la tukio! Tuna shida mahali
 
Halafu eti mtu katoka Kigoma anaenda kuiba Tarime,sijui huyo muha mwizi kazaliwaje
 
Hizi ni tuhuma ni nzito sn
 
SHERIA ichukue mkondo jamani huko Mara miaka yote si shwari na Mkuu wa Mkoa Malima kaondoka hebu huyo tajiri akamatwe
Mkuu tupe muendelezo tajiri akamatwe
 
Hili suala la mdogo wako kuuliwa kisha ufanye mazungumzo siyo rahisi, najua hata wewe mleta mada huwezi, yawezekana kuna siasa mnataka kuzipitishia katika hili.
Inawezekana kabisa! Achana na umaskini ndugu.....K namskiaga mambo yake
 
Tarime kila Tajiri ana sero zake wakiongozwa na muuaji Zakaria Peter aka mzee wa kutembea na kamsukule katoto kwenye gari
Suala la misukule nyie mnatoaga wapi mtu akiwa tajiri lazima muweke mambo ya ushirikina inamaana harakati za Peter Zakaria kutafuta pesa huzijui ata km alikuwa na ukatili wake sababu ya pesa kipindi iko adi kufikia hapa?
 
SHERIA ichukue mkondo jamani huko Mara miaka yote si shwari na Mkuu wa Mkoa Malima kaondoka hebu huyo tajiri akamatwe
Mkuu tupe muendelezo tajiri akamatwe
Tajiri hakamatwi kizembe wewe! Pesa itakamatwa kwa niaba yake!! Tajiri akamatwe kisa masikini kataka? Hapana aisee,siyo kwa utawala wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…