Woooooo nakuamini sasa huna haja ya kuleta ushahidi....
Hakika bwana Yesu ni mkuu. Alisema haya yote kuwa yatatukia na yakitukia tukumbuke alichokisema alipokuwa nasi duniani ...hakika wako mbwa mwitu waliovalia ngozi ta kondoo. Jina la bwana Yesu lipewe Sifa.
Alisema maaskofu watalawiti na kulawitiwa makanisani? alisema mapadri na maaskofu wataharibu kwa kuwaingilia watoto wadogo katika makanisa katoliki yote duniani?
Naomba ushahidi.
Cha ajabu zaidi ni kuwa mpaka sasa walioshikwa na viungo vya albino ni wachungaji wa kanisa.
Wako wachungaji na maaskofu wanaolawiti na kulawitiwa. Ulikuwa pia hujuwi? Unataka ushahidi?
Lkn pia mtume alisema shekhe fareed wa uamsho ataenda kuolewa gerezani na kupigwa mashine mpk atamuonesha hakimu jinsi anavovuja hapo nyuma!!
Wanamlawiti mamayako kwani kuna shida sikazoea
Wewe ni mnduku sijawai hiyo diniyenu ya kuabudu mapepo ndo inauwa watu
Alisema maaskofu watalawiti na kulawitiwa makanisani? alisema mapadri na maaskofu wataharibu kwa kuwaingilia watoto wadogo katika makanisa katoliki yote duniani?
Naomba ushahidi.
Lema vipi anakimbilia mwenyewe kwenda gerezani?
Ni haram na haiswihi kabisa.
Soma hizi documents upate akili na maarifa.
Yuda 1:4
1yohana 5:16-20
Ufunuo 21:8
Ufunuo 22: 11-15
Vipi kuhusu ile ayati inayosema eti mwanamke ni shamba Lima utakavyo una uzungumziaje? Si kwamba imehalalisha?
Magereza ya Arusha ni ya kimataifa, yanasimamiwa na UN. Hayana hayo matabia ya kule kwenu..
Matabia yale ya kanisani? Hujamsikia Papa?
"kwani mimi nani hata niwahukumu" mashoga? - Papa mtakatifu wa Vatikan.
Ni punguani tu asiyeelewa kuwa shamba linalimwa ili litowe mazao, shamba kama halitoi mazao utalilima? Fikiri.
Kwa nyinyi mashamba yenu haya sijuwi yanatoa mazao gani:
The pair are due to marry on Oct 9 at the register office in Devizes before holding a service at St John the Baptist Church Photo: SWNS
Ahaaa sasa hapo bibie FaizaFoxy una "edit" kitabu. Miye wala sjakutuma Ku edit. Mstari wasimama wazi kabisa... "mwanamke ni shamba bibie waweza Lima utakavyo" wala haujagusia mazao. Waishia sema tu lilimwe vile upendavyo... Ushansoma bibie?
Tena Wala haujasema mwanaume ni shamba. Hivi hujawahi lakini?
Lols !
Naam, mwanamke ni konde waweza lima utakavyo.
Sasa nakuuliza wewe, unaweza lima shamba ambalo halitoi mazao? si utakuwa ni punguani?
Sasa tazama juu huko huyo padri analima nini hapo? kinyaa.
Matabia yale ya kanisani? Hujamsikia Papa?
"kwani mimi nani hata niwahukumu" mashoga? - Papa mtakatifu wa Vatikan.