FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Woooooo nakuamini sasa huna haja ya kuleta ushahidi....
Hakika bwana Yesu ni mkuu. Alisema haya yote kuwa yatatukia na yakitukia tukumbuke alichokisema alipokuwa nasi duniani ...hakika wako mbwa mwitu waliovalia ngozi ta kondoo. Jina la bwana Yesu lipewe Sifa.
Alisema maaskofu watalawiti na kulawitiwa makanisani? alisema mapadri na maaskofu wataharibu kwa kuwaingilia watoto wadogo katika makanisa katoliki yote duniani?
Naomba ushahidi.