View attachment 227839Mabaki ya maiti ya mtoto albino aliyepokwa toka kwa mamayake ambaye alijeruhiwa vibaya na kalazwa
Pesa madaraka cheo na umaarufu vimeleta ukatili huu
LAKINI MUNGU ANAONA NA ANASIKIA KILIO CHAO WASIO NA NGUVU
Ni lini serikali haikusikiliza kilio cha albino?
Mada kama hii nilishawahi kuileta hapa ikaondolewa,
Sijui ni vigezo vipi ilikosa, ila ilikuwa na ushahidi wa picha zakichawi za ccm
View attachment 227839Mabaki ya maiti ya mtoto albino aliyepokwa toka kwa mamayake ambaye alijeruhiwa vibaya na kalazwa
Pesa madaraka cheo na umaarufu vimeleta ukatili huu
LAKINI MUNGU ANAONA NA ANASIKIA KILIO CHAO WASIO NA NGUVU
Ivi kwann isisomwe albadir.....this is just too much. Dah aisee....
Ivi kwann isisomwe albadir.....this is just too much. Dah aisee....
God is watching Senior Boss na kilio cha mnyonge kamwe hakiendi bure
Nini kifanyike? Nimechoka kuona unyama huuKwa bahati mbaya mauaji haya yanatokea kwenye familia za hali ya chini ingekua yanatokea kwenye familia za matajiri au wakuu basi tungeziona juhudi na wala isingechukua siku nyingi namna hii kukomeshwa. Wewe angalia kwa makini ni familia zenye hali gani mauaji hay hutokea ndo kusema kwenye familia za wakubwa au matajiri hakuna walemavu wa aina hii!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimechoka kuona haya natamani kuchukua mapanga na mavisuOffcz nina anza kuaminishwa uenda kuna mkono wa mtu kutoka serikalini anahusika na huu mchezo mchafu kabsa ambao Mwenyez mungu awez kuwa happy hata kidogo
Tuendelee kuwapigia kelele wenye makali kwani wao wana mbinu nyingi za kuwakamata hawa maharamia. Na sisi wananchi kwenye maeneo yetu tuanzishe ulinzi ikibidi watu watembee na filimbi au kitu chochote kitakachoashiria hatari then wananchi wasikiapo mlio watoke na kuanza kumsaka adui. Najua wananchi wakiamua kujilinda wanaweza maana wao ni jeshi kubwa.Nini kifanyike? Nimechoka kuona unyama huu