Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Waganga wa kienyeji ndo chanzo yanatakiwa yapigwe marufuku hayo ma mtu.
Albino ni binadamu kama sisi yaani nimesikitishwa sana na hii habari ya huyu mtoto maskini lakini kuna watu wana roho ngumu jamani hivi unaanzaje kumkata mtoto wa mwaka mmoja viungo vyake hawezi hata kujitetea maskini analia tuu unafanya hivo eti ili upate hela seriously??????!!!!
 
Inasikitisha kwa kweli,nchi ambayo wahalifu wanafanya chochote wanavyojisikia kwa muda wowote bila kumuogopa Mungu wala mtu yeyote. Ifike mahali serikali itamke basi kuwa imeshindwa kuwalinda na iwatafutie hifadhi nje ya nchi wanakothamini utu wa binadamu. Kizazi cha kishirikina uongozwa na washirikina na ndio maana ata viongozi wetu bado wanaamini ktk nguvu za giza na kila kukicha maVX yetu yanaonekana porini huko yakisaka kinga mbadala. Mungu anaona kama ulivyosema mtoa mada na ipo siku wale wote wanaoshiriki kwenye uchafu huu wataumbuliwa na Mungu hapa hapa duniani. Na walaaniwe kabisa.
 
Angekuwa na huruma na kulia machozi yasiyo ya kisanii angesema wapigwe tu?jama anajua kuigiza upole lakini ni mubaya
 
Whoever did this GOD IS WATCHING....!!!! 1424366187465.jpg1424366187465.jpg
 
Ndugu wana jamii forum, Kwanza kabisa poleni na picha ya leo iliyomuonyesha mtoto akiwa amekatwa kinyama kisha kuzikwa!
Ndugu zangu leo nifadhaishwa sana na picha ile kiasi cha kutopata usingizi vizuri. Ni ukatili ukatili wa hali ya juu.
Naomba serikali kutumia DNA kuwatia nguvuni washukiwa hawa! Pili ni maono yangu kuwa serikali imeshindwa kudhibiti mauaji haya naomba wananchi waruhusiwe kuchukua sheria mkononi kumaliZa aibu hii.
 
Offcz nina anza kuaminishwa uenda kuna mkono wa mtu kutoka serikalini anahusika na huu mchezo mchafu kabsa ambao Mwenyez mungu awez kuwa happy hata kidogo
 
Kwa bahati mbaya mauaji haya yanatokea kwenye familia za hali ya chini ingekua yanatokea kwenye familia za matajiri au wakuu basi tungeziona juhudi na wala isingechukua siku nyingi namna hii kukomeshwa. Wewe angalia kwa makini ni familia zenye hali gani mauaji hay hutokea ndo kusema kwenye familia za wakubwa au matajiri hakuna walemavu wa aina hii!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa bahati mbaya mauaji haya yanatokea kwenye familia za hali ya chini ingekua yanatokea kwenye familia za matajiri au wakuu basi tungeziona juhudi na wala isingechukua siku nyingi namna hii kukomeshwa. Wewe angalia kwa makini ni familia zenye hali gani mauaji hay hutokea ndo kusema kwenye familia za wakubwa au matajiri hakuna walemavu wa aina hii!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nini kifanyike? Nimechoka kuona unyama huu
 
Nini kifanyike? Nimechoka kuona unyama huu
Tuendelee kuwapigia kelele wenye makali kwani wao wana mbinu nyingi za kuwakamata hawa maharamia. Na sisi wananchi kwenye maeneo yetu tuanzishe ulinzi ikibidi watu watembee na filimbi au kitu chochote kitakachoashiria hatari then wananchi wasikiapo mlio watoke na kuanza kumsaka adui. Najua wananchi wakiamua kujilinda wanaweza maana wao ni jeshi kubwa.
 
Back
Top Bottom