Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Waganga wa kienyeji ndo chanzo yanatakiwa yapigwe marufuku hayo ma mtu.
Albino ni binadamu kama sisi yaani nimesikitishwa sana na hii habari ya huyu mtoto maskini lakini kuna watu wana roho ngumu jamani hivi unaanzaje kumkata mtoto wa mwaka mmoja viungo vyake hawezi hata kujitetea maskini analia tuu unafanya hivo eti ili upate hela seriously??????!!!!
Kwa wale nitakao wakwaza kwa haya niyaandikayo nawaombeni radhi.
Suala la albino, kuua wazee wenye macho mekundu limejikita sana mikoa ya kaskazini na takwimu za sensa zinaonyesha kuwa kabila kubwa tanzania ni wasukuma.
Takwimu za zamani zilidai kuwa makabila hayo asilimia kubwa wanaamini dini za kienyeji na ndiyo maana waganga wa jadi wana nafasi maalum katika jamii hizo. Hivyo basi kamaa jamii hizo hazibadiliki ni vigumu sana mauaji kama haya kutokea na inawezekana kuwa mauaji haya yamekuwepo kwa miaka mingi tu ila kwa vile yalikuwa hayatangazwi hatakuyajua. Kuna taasisi fulani ilifanya utafiti kuhusu mauaji ya albino na wakasema mara nyingi kuna kuwa na mhusika ndani ya familia na wakati mwingine baba na wajomba wanahusika sana kwa hili.
Kwa maoni yangu ni kuwa bila jamii hizi kubadilika itakuwa vigumu sana kuzuia mauaji haya kwani wauaji wanapakwa dawa na waganga hivyo inawafanya waamini kuwa hawatadhurika na mizimu ya waliowaua.
 
Nimefarijika kwa kweli, na wasakwe mmoja baada ya mmoja. Hapo kwenye chale imenipa furaha kwa kuachiwa kwake
 
Serikali iache unafiki, serikali imekaa kimya tu haichukui hatua yoyote.
Serikali hii ya ccm ina support sana uovu huu wa unyama wanaofanyiwa ndugu zetu malbino.
 
waunde operesheni maalum, kamata choma moto wauaji + waganga wa kienyeji + wachawi !
 
ccm Watalia Mno Kusikia Wakala Wao Kauawa,na Tuwaue Tu,wangemkatakata Kiungo Kimoja Baada Ya Kingine Safi Sana,hakuna Serikali Tanzania Ya Kuwalinda Ndugu Zetu,tuwalinde Wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Kumbe wakichanjwa chale wanakosa ubora na vigezo vya kutendewa maovu?!...Kama ni kweli basi ni bora ifanyike kampeni kitaifa kunusuru ndugu zetu kwa njia hii ya "kinga ya chanjo"
 
Nadhani safari hii pinda wa mizengwe atawalillia sana mawakala kuchomwa moto.
Kauli mpya ni "wachomwe tu" maana serikali si mtetezi wa wanyonge tena.

Na lile chozi la bungeni lilikuwa la kinafiki sana.

A matter of time, wait to see their collapse. Na nyie wawakilishi wa waganga wa kienyeji;!!!

It pain.
 
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.

Ni kweli! Lakini unapotafakari ni nini kimetokea tangu Pinda atoe chozi mle bungeni, unaweza ukaona hiki kitendo ni sahihi. Bora wamefahamu kuna huyo mganga wa kienyeji- hilo lianajike! Huyo ndiye atatoa ushahidi zaidi. Wakala ni hatari sana! Huyu alikuwa wakala na muuaji ukisoma hii tasmilia vizuri. Bora afe, maana angesababisha utoroshaji na mauaji ya vijana wetu wenye ulemavu wa ngozi! Natamani ningekuwa Mungu, ningemsulubisha tena sana huko ahera!!!!
 
Back
Top Bottom