Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
na wapigwe tu
maana tumechoka,tena nawaagiza wananchi na muwapige kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wapigwe tu
Kwa wale nitakao wakwaza kwa haya niyaandikayo nawaombeni radhi.Waganga wa kienyeji ndo chanzo yanatakiwa yapigwe marufuku hayo ma mtu.
Albino ni binadamu kama sisi yaani nimesikitishwa sana na hii habari ya huyu mtoto maskini lakini kuna watu wana roho ngumu jamani hivi unaanzaje kumkata mtoto wa mwaka mmoja viungo vyake hawezi hata kujitetea maskini analia tuu unafanya hivo eti ili upate hela seriously??????!!!!
Wanafichana tu hakuna kisichojulikana.
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.
Unajua maana ya itelejesia, mimi nataka nipate mawasiliano na usalama wa taifa nifanye nao kazi.
albino ni kafara ya CCM
Nimetoa ushauri siasa tuweke kando tuchukue hatua
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.