Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Kwani chacha wangwe aliuliwa na nani kama siyo chadema.Hawa Ma CCM ni wasahaulifu sana...Huyu Kinana ndiye anayesafirisha pembe za ndovu nje ya nchi...Kwa sababu tu nchi yetu iko kama "Gheto"
Kila mtu anajua kuwa hawa ni chadema make wao ndiyo wala nyama na kunywa damu za watu.Mkuu...kwa hili la juzi geita ni kundi la wana CCM wasaka urais...wamemuua yule mtoto...Ushahidi upo...Tutauweka wazi...wao wanadhani tunatania
Yericko ni mtuhumiwa namba moja kwenye haya mauaji halafu mpaka leo hajaweza kujibu tuhuma zake zinazomkabili,
Lazaboni aliwahi kuweka uzi ambao unaelezea vizuri sana anavyohusika na hili sakata.
mkuu kama una ushahidi ni vema ukaweka wazi kuwaumbua hawa wahuni wa ccm.Mkuu...kwa hili la juzi geita ni kundi la wana CCM wasaka urais...wamemuua yule mtoto...Ushahidi upo...Tutauweka wazi...wao wanadhani tunatania
mbona umepaniki sana ukweli unauma ccm ndo mnauwa albino wetu nchi nzima.Kila mtu anajua kuwa hawa ni chadema make wao ndiyo wala nyama na kunywa damu za watu.
Kila mtu anajua kuwa hawa ni chadema make wao ndiyo wala nyama na kunywa damu za watu.
mkuu kama una ushahidi ni vema ukaweka wazi kuwaumbua hawa wahuni wa ccm.
poa mkuu tuwagemea sana nyie wenye data kuwaumbua hawa wahuni wa ccm.Mkuu...haya mambo tunaenda nayo taratibu....kuna wakati mwafaka utafika...ambapo dunia nzima itashangaa na hawataamini...Itapoteza credibility yote ya kikwete kwa mabwana zake wazungu
Kwani chacha wangwe aliuliwa na nani kama siyo chadema.
mchana mnawapakata usiku mnawawinda...
Hakuna Katibu Mkuu mzuri kwa sasa kwenye vyama vya siasa kama Kinana. Anayo mapungufu yake kama sisi sote lakini wa kumlinganisha naye kwenye vyama hivi tulivyonavyo hakuna.
Siku nitakapofahamu ni nini kilimwondoa Dr Slaa kwenye upadre ambayo kwa Wakatoliki ni sacramenti kama ilivyo ndoa pengine nitabadili msimamo wangu huu.
Angalia mkuu wasije wakakuletea madhara maana ni nyoka wenye makengeza
Kwani mkuu hebu nijuze.. Polisi walikuwa wanarushiana risasi na nani.. wanajeshi..? Maana naona picha imefia kati wala haijajulikana mwisho iliishia wapi..!
mkuu mimi nawajua sana kwa matukio mengi ya kulipuka kwa bomu kama lile liltokea uwanja wa soweto Arusha mimi nilinusurika kwenye tukio nilitazama zile picha za majeruhi roho iliniuma sana kumbe wahusika wa kulipua yale mabomu kwenye mkutano wa CHADEMA ni wahuni wa ccm wana roho za kishetani kabisa .
Hakuna Katibu Mkuu mzuri kwa sasa kwenye vyama vya siasa kama Kinana. Anayo mapungufu yake kama sisi sote lakini wa kumlinganisha naye kwenye vyama hivi tulivyonavyo hakuna.
Siku nitakapofahamu ni nini kilimwondoa Dr Slaa kwenye upadre ambayo kwa Wakatoliki ni sacramenti kama ilivyo ndoa pengine nitabadili msimamo wangu huu.