Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mkuu...kwa hili la juzi geita ni kundi la wana CCM wasaka urais...wamemuua yule mtoto...Ushahidi upo...Tutauweka wazi...wao wanadhani tunatania
Kila mtu anajua kuwa hawa ni chadema make wao ndiyo wala nyama na kunywa damu za watu.
 
Yericko ni mtuhumiwa namba moja kwenye haya mauaji halafu mpaka leo hajaweza kujibu tuhuma zake zinazomkabili,

Lazaboni aliwahi kuweka uzi ambao unaelezea vizuri sana anavyohusika na hili sakata.

Anzisha uzi kuelezea hizo tuhuma;

Kinana ni Jangili...Thats a fact...hajawahi kukanusha...Kampuni yake Ashraf shiping Agency imehusika na kusafirisha pembe za ndovu...thats a fact

Mwigulu ni Gaidi...hilo halina Ubishi...Amemwagia Tesha Tindikali...fact...Amelipua bomu kwenye mkutano wa CHADEMA arusha...Its fact pia
 
Mkuu...kwa hili la juzi geita ni kundi la wana CCM wasaka urais...wamemuua yule mtoto...Ushahidi upo...Tutauweka wazi...wao wanadhani tunatania
mkuu kama una ushahidi ni vema ukaweka wazi kuwaumbua hawa wahuni wa ccm.
 
Kila mtu anajua kuwa hawa ni chadema make wao ndiyo wala nyama na kunywa damu za watu.

Maji marefu..Mwenyekiti wa wachawi Tanzania...amethibitisha Mwigulu na Kundi lake walihusika kumuua mtoto mlemavu wa Ngozi....Ushahidi upo,...matter of time....Ndio maana serikali imeshindwa kuzuia mauaji haya...kwa sababu inahusika
 
mkuu kama una ushahidi ni vema ukaweka wazi kuwaumbua hawa wahuni wa ccm.

Mkuu...haya mambo tunaenda nayo taratibu....kuna wakati mwafaka utafika...ambapo dunia nzima itashangaa na hawataamini...Itapoteza credibility yote ya kikwete kwa mabwana zake wazungu
 
Mkuu...haya mambo tunaenda nayo taratibu....kuna wakati mwafaka utafika...ambapo dunia nzima itashangaa na hawataamini...Itapoteza credibility yote ya kikwete kwa mabwana zake wazungu
poa mkuu tuwagemea sana nyie wenye data kuwaumbua hawa wahuni wa ccm.
 
Kwani chacha wangwe aliuliwa na nani kama siyo chadema.

CCM inahusika na mauaji ya mtoto Albino....Tutayaweka wazi tu...hata wewe utashangaa siku hiyo

Hapa endelea tu kushangilia usichokijua
 
Hakuna Katibu Mkuu mzuri kwa sasa kwenye vyama vya siasa kama Kinana. Anayo mapungufu yake kama sisi sote lakini wa kumlinganisha naye kwenye vyama hivi tulivyonavyo hakuna.

Siku nitakapofahamu ni nini kilimwondoa Dr Slaa kwenye upadre ambayo kwa Wakatoliki ni sacramenti kama ilivyo ndoa pengine nitabadili msimamo wangu huu.
 
Sumaye ameongea vizuri ila na yeye aache unafiki sasa maana akiwa PM ndiye alikua muasisi wa Rushwa na kuibatiza jina zuri "Takrima" na kuwatisha wafanyabiashara kuwa ili wafanikiwe ni lazima waichangie CCM.
 
Hakuna Katibu Mkuu mzuri kwa sasa kwenye vyama vya siasa kama Kinana. Anayo mapungufu yake kama sisi sote lakini wa kumlinganisha naye kwenye vyama hivi tulivyonavyo hakuna.

Siku nitakapofahamu ni nini kilimwondoa Dr Slaa kwenye upadre ambayo kwa Wakatoliki ni sacramenti kama ilivyo ndoa pengine nitabadili msimamo wangu huu.

Kiongozi mzuri ni yule anayeleta matokeo chanya kwa chama au taasisi, Vipi matokeo ya jana kule Sumbawanga umeyapata??
 
Kwani mkuu hebu nijuze.. Polisi walikuwa wanarushiana risasi na nani.. wanajeshi..? Maana naona picha imefia kati wala haijajulikana mwisho iliishia wapi..!

Na ngedere kwa mjibu wa Changoja walikamata SMG moja na kuua ngedere watatu,hii nchi basis tu
 
mkuu mimi nawajua sana kwa matukio mengi ya kulipuka kwa bomu kama lile liltokea uwanja wa soweto Arusha mimi nilinusurika kwenye tukio nilitazama zile picha za majeruhi roho iliniuma sana kumbe wahusika wa kulipua yale mabomu kwenye mkutano wa CHADEMA ni wahuni wa ccm wana roho za kishetani kabisa .

Kwanza hawa watu hata ikitokea wameshindwa uchaguzi, inabidi kuwadhibiti vilivyo, vinginevyo wanaweza kufanya vitu vya ajabu kiasi kwamba hii nchi ikawa haikaliki. watu waliozoea kuua ndio mambo yao yaende si watu wazuri asilani.
 
Mwaka wa uchaguzi ni mwaka wa shida kwa albino na polisi, Albino wanauliwa kwa imani za kishirikina CCM warudi kwenye viti vyao, polisi wako na intelegensia ya kuzoofisha vyama vya upinzani.

wanajenga chama kinabomoka chenyewe

10492443_747790651945677_3229107352116125624_n.jpg
 
Hakuna Katibu Mkuu mzuri kwa sasa kwenye vyama vya siasa kama Kinana. Anayo mapungufu yake kama sisi sote lakini wa kumlinganisha naye kwenye vyama hivi tulivyonavyo hakuna.

Siku nitakapofahamu ni nini kilimwondoa Dr Slaa kwenye upadre ambayo kwa Wakatoliki ni sacramenti kama ilivyo ndoa pengine nitabadili msimamo wangu huu.

Dr slaa aliamua kwa ridhaa yake kuondokana na upadri baada ya kuona maisha ya useja hatayaweza tena

Akaomba kibali kwa Papa...akaruhusiwa kuacha...

Huo pia ni utaratibu ndani ya kanisa katoliki

Sifa ya Dr Slaa ni mkweli na mwadilifu....ameona hawezi akaamua kuomba kuacha...sio kama mapadri wengine siku hizi wana watoto na bado wanaendelea na upadri wao.

Dr slaa ni kiongozi wa pekee.

Come to Kinana

Huyu jamaa Kampuni yake Ashraf shiping Agency imehusika na kusafirisha pembe za ndovu...Amenufaika na mapato ya biashara hio haramu kama shareholder wa hio kampuni(Shereholders ni yeye na mkwewe).Kwa lugha nyingine kinana anafanya biashara haramu ya Pembe za ndovu
 
Back
Top Bottom