Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
CCM Ni chama cha wauwaji, Majangili...
Kabisa,imecheki Jana Star TV Mwenyekiti wa TAS chama cha maalibino aliunda mtego kwa kushirikiana na Zelothe Steven,kwa kunyoa nywele zake ma kumuuzia mtu,kumkamata akakiri kuuziwa naye,kufika mahakamani nywele zikapelekwa kwa mkemia mkuu..kurudi zikarudi nywele za mudoli na kesi ikaisha