CCM Ni chama cha wauwaji, Majangili...
ni kweli mkuu ccm uwezekano wa kushindana kwa ccm ni mgumu sana jana wameona matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa huko sumbawanga jinsi ccm walivyoangukia pua hizo ndo dalili za ccm kuchokwa na wananchi kama sisi huku ARUSHA ccm wamebakia masalia wachache mwaka tunataka KUWAFUTA NA KUWADELETE CCM KABISA .Kwanza hawa watu hata ikitokea wameshindwa uchaguzi, inabidi kuwadhibiti vilivyo, vinginevyo wanaweza kufanya vitu vya ajabu kiasi kwamba hii nchi ikawa haikaliki. watu waliozoea kuua ndio mambo yao yaende si watu wazuri asilani.
Wa kulaumiwa hapa ni Kinana pekeyake? Dr Slaa alianguka urais 2010, alipaswa kuendelea na wadhifa huo?Kiongozi mzuri ni yule anayeleta matokeo chanya kwa chama au taasisi, Vipi matokeo ya jana kule Sumbawanga umeyapata??
Shukrani sana kwa maelezo yaliyonyookaDr slaa aliamua kwa ridhaa yake kuondokana na upadri baada ya kuona maisha ya useja hatayaweza tena
Akaomba kibali kwa Papa...akaruhusiwa kuacha...
Huo pia ni utaratibu ndani ya kanisa katoliki
Sifa ya Dr Slaa ni mkweli na mwadilifu....ameona hawezi akaamua kuomba kuacha...sio kama mapadri wengine siku hizi wana watoto na bado wanaendelea na upadri wao.
Dr slaa ni kiongozi wa pekee.
Come to Kinana
Huyu jamaa Kampuni yake Ashraf shiping Agency imehusika na kusafirisha pembe za ndovu...Amenufaika na mapato ya biashara hio haramu kama shareholder wa hio kampuni(Shereholders ni yeye na mkwewe).Kwa lugha nyingine kinana anafanya biashara haramu ya Pembe za ndovu
Kujenga cha na kuongoza chama ni vitu viwili tofauti, nyakati hizo Dr Slaa alikuwa anajenga chama, ambapo sasa anaongoza chama sawa na Kinana anaongoza Chama kikuu tawala. hivyo sasa tunawapima kwa matokeo ya chaguzi hiziWa kulaumiwa hapa ni Kinana pekeyake? Dr Slaa alianguka urais 2010, alipaswa kuendelea na wadhifa huo?
CCM ni wauwaji...kuna ushahidi usio na shaka kwamba mtoto aliyeuawa juzi ni viongozi wa CCM wasaka urais kundi la mwigulu ndi waliohusika.....Kuna ushahidi wa wazi...narudia...wakati ukifika tutayaweka wazi
Hembu ni saidieni kwani huu uuwaji na utekaji wa watu ulianza muongo upi wa Ndg Allhassan Mwinyi, Ndg Benjamin Mkapa, au Ndg Jakaya Kikwete nani kwa nini.
Ni kweli aliondoka kule kwenye Upadre akiwa tayari ana watoto wawili wakubwa tu. Kwamba kesharuhusiwa na Pope kuacha useja sidhani kama ni kweli. Hakufunga ndoa na Rose Kamili na hana ndoa na hiki chuma chake kipya.Dr slaa aliamua kwa ridhaa yake kuondokana na upadri baada ya kuona maisha ya useja hatayaweza tena
Akaomba kibali kwa Papa...akaruhusiwa kuacha...
Huo pia ni utaratibu ndani ya kanisa katoliki
Sifa ya Dr Slaa ni mkweli na mwadilifu....ameona hawezi akaamua kuomba kuacha...sio kama mapadri wengine siku hizi wana watoto na bado wanaendelea na upadri wao.
Dr slaa ni kiongozi wa pekee.
Come to Kinana
Huyu jamaa Kampuni yake Ashraf shiping Agency imehusika na kusafirisha pembe za ndovu...Amenufaika na mapato ya biashara hio haramu kama shareholder wa hio kampuni(Shereholders ni yeye na mkwewe).Kwa lugha nyingine kinana anafanya biashara haramu ya Pembe za ndovu
Kinana yeye bado anajenga chama haijulikani lini ataanza kukiongoza.Kujenga cha na kuongoza chama ni vitu viwili tofauti, nyakati hizo Dr Slaa alikuwa anajenga chama, ambapo sasa anaongoza chama sawa na Kinana anaongoza Chama kikuu tawala. hivyo sasa tunawapima kwa matokeo ya chaguzi hizi
Ni kweli aliondoka kule kwenye Upadre akiwa tayari ana watoto wawili wakubwa tu. Kwamba kesharuhusiwa na Pope kuacha useja sidhani kama ni kweli. Hakufunga ndoa na Rose Kamili na hana ndoa na hiki chuma chake kipya.
Tuyaache hayo. Bado Kinana ni Katibu Mkuu mzuri sana. CCM imeharibika kiasi. Kurekebisha hali hii ni kazi ngumu sana. Unapomiliki vyombo vya usafiri utasafirisha kila kitu. Umewahi kusikia ya Dr Slaa wakati akiwa ni Katibu mkuu wa TECna biashara yake ya magari?
ipo siku Mungu atawaumbua wahusika wote .Mauaji yalianza mwaka 2006...Kipindi cha Kikwete...Hadi sasa 76 wameuawa...18 wamepata ulemavu....
Tunaposema CCM ya Kikwete inahusika hatutanii
La juzi geita kundi la kina Mwigulu limehusika
Kwamba Dr Slaa alikuwa anajenga chama alichokikuta! Sikatai, CHADEMA imefanya vizuri sana chaguzi za mitaa mwaka huu.Kujenga cha na kuongoza chama ni vitu viwili tofauti, nyakati hizo Dr Slaa alikuwa anajenga chama, ambapo sasa anaongoza chama sawa na Kinana anaongoza Chama kikuu tawala. hivyo sasa tunawapima kwa matokeo ya chaguzi hizi
Dr Slaa aliomba kuacha uPadri tangu mwaka 1986....Wakati huo hata mtoto mmoja hajazaliwa...Acha kupotosha
Sema Process ya hadi Pope ku approve hua inachukua miaka
Na ndicho kilichotokea.
Aliamua yeye kuacha kwa dhamiri yake bila kushurutishwa na mtu yeyote
Naturally ukiishi na mtu under one roof kwa miezi sita while cohabiting hio ni ndoa...Marriage Act ya Tanzania,1971.Ndicho kilichotokea kwa Rose.
Tuyaache hayo.
Ukatibu mkuu mzuri wa kinana unatokana na nini?
Huyu amenufaika na mapato haramu...anafaa kujiuzulu...hafai hata kusimama mbele ya watu
CCM ni chafu...sio imeharibika kiasi....Imeoza
Usidanganye watu kuwa eti ukiwa na kampuni ya Usafiri utasafiri unasafirisha kila kitu...really? Hata madawa ya kulevya?
Wa kulaumiwa hapa ni Kinana pekeyake? Dr Slaa alianguka urais 2010, alipaswa kuendelea na wadhifa huo?