a
Padre Slaa alivuruga useja muda mrefu kabla hajaacha upadre. Huyu baba muda huu angekuwa ni Askofu kwa nafasi ile aliokuwa nayo TEC. Makatibu wengi wa TEC kama si wote wamekuwa Maaskofu. Hauwezi kuiacha sacramenti ile halafu ukawa kiongozi mzuri kwingineko.
Hiyo Shipping Agency iliachwaje na Wachina walivyo wakali vile?
Kwani Upadre kaacha lini Dr Slaa? Au ukishakusudia kuacha na kuzaa kunaanza palepale. Dr Slaa bado ni padre wetu pamoja na wajukuu alionao sasa. Hawezi tu kuongoza misa au ibada kwa sababu ya hayo makandokando yakeUmejitahidi kuleta uzushi kuwa Dr alizaa kabla ya kusudio la kuachana na Upadre, lakini umejibiwa kisha unahamia kwenye uaskofu mkuu???
Nani kakwambia kiongozi wa kiroho hawezi kuwa kiongozi wa umma?
Nenda Ujerumani, mapadre hulipwa mishahara na serikalu, nenda Arabuni, Mashehe wote hulipwa mishahara na serikali.
Kama hujui omba ujulishwe mkuu
Ni kweli mimi ni CCM tangu mwaka 1985 nilipokuwa JKT. Sijalipa ada kwa muda mrefu kidogo. Hata Dr Slaa tulikuwa naye huku. Ni uchu wa Ubunge ulimwondoa huku CCM.Ushakosa hoja sasa...Tumekujibu yote kuhusu Dr Slaa unaanza kuja na General Comments za Ki CCM....No wonder CCM hoooliiganns will never understand anything.
Agency iko domiciled Tanzania...yenyewe ndiyo iliyopakia mzigo....kushughuikiwa ilitakiwa ishughulikiwe na Jurisdiction ya Tanzania...Lakini kwa sababu serikali yote ni Corrupt...Nothing was done
Umeelewa sasa?
Ni kweli mimi ni CCM tangu mwaka 1985 nilipokuwa JKT. Sijalipa ada kwa muda mrefu kidogo. Hata Dr Slaa tulikuwa naye huku. Ni uchu wa Ubunge ulimwondoa huku CCM.
Sasa kama hii Shipping Agency ya Mh Kinana haikupata kushtakiwa kokote huu uvumi na uzushi mnautoa wapi?
Dr Slaa aliomba kuacha uPadri tangu mwaka 1986....Wakati huo hata mtoto mmoja hajazaliwa...Acha kupotosha
Sema Process ya hadi Pope ku approve hua inachukua miaka
Na ndicho kilichotokea.
Aliamua yeye kuacha kwa dhamiri yake bila kushurutishwa na mtu yeyote
Naturally ukiishi na mtu under one roof kwa miezi sita while cohabiting hio ni ndoa...Marriage Act ya Tanzania,1971.Ndicho kilichotokea kwa Rose.
Tuyaache hayo.
Ukatibu mkuu mzuri wa kinana unatokana na nini?
Huyu amenufaika na mapato haramu...anafaa kujiuzulu...hafai hata kusimama mbele ya watu
CCM ni chafu...sio imeharibika kiasi....Imeoza
Usidanganye watu kuwa eti ukiwa na kampuni ya Usafiri utasafiri unasafirisha kila kitu...really? Hata madawa ya kulevya?
Mkuu Yericko Nyerere naogopa wasije kukukolimba, kukumwangosi, au kukulimboka maana hawa watu ni siwaelewi elewi shujaa.
Umekuwa mjasiri hadi nahisi umepitiliza.
Lete picha yako mkuu sio ya Polisi ZCO huyu.
Huyu mtu ni mshirika wa Karibu wa kinana katika biashara ya Ujangili
Oooh, kwa hiyo wanatumia magobole ya makumbusho ya Mkwawa, Kalenga Iringa?
Wewe akili zako kama za ng'ombe, nimekudharau sana.
Yericko ni mtuhumiwa namba moja kwenye haya mauaji halafu mpaka leo hajaweza kujibu tuhuma zake zinazomkabili,
Lazaboni aliwahi kuweka uzi ambao unaelezea vizuri sana anavyohusika na hili sakata.
Ni kweli mimi ni CCM tangu mwaka 1985 nilipokuwa JKT. Sijalipa ada kwa muda mrefu kidogo. Hata Dr Slaa tulikuwa naye huku. Ni uchu wa Ubunge ulimwondoa huku CCM.
Sasa kama hii Shipping Agency ya Mh Kinana haikupata kushtakiwa kokote huu uvumi na uzushi mnautoa wapi?
CCM ni wauwaji...kuna ushahidi usio na shaka kwamba mtoto aliyeuawa juzi ni viongozi wa CCM wasaka urais kundi la mwigulu ndi waliohusika.....Kuna ushahidi wa wazi...narudia...wakati ukifika tutayaweka wazi
Mimi ngoja nibaki kuwa shetani. Sina chama ninachoona kinafaa kuhamia kwa uhuru huu wa mawazo na kujieleza nilikonako. CHADEMA ikibadili uongozi wa juu kidemocrasia naweza fikiria kwenda huko. Hawa waliopo hawawezi kunivumilia hata kidogo.Ni shetani tu au mtu mwenye moyo wa kishetani anaweza kuvumilia kuendelea kuwa CCM.
Mkuu,.....Nimekufa fact zote.....huo unaosema ni uvumi ni kipi? Kampuni ya kinana haijafikishwa mahakamani kwa sababu serikali ni corrupt...haiwezi kuchukua hatua hasa kwa watu kama kina kinana ambaye ni katibu mkuu wa chama kinacholea wizi wa mali za Uma Tanzania
Mkuu usitake kuniambia kale kauhusiano kake na yule "mwenye helkopta" aliyejitolea kuzunguka naye kabla hajapigwa Ban kana jambo ndani yake!
Habari hizi zinahitaji zifanyiwe kazi. Tumechoka kuwavumilia.
Mimi ngoja nibaki kuwa shetani. Sina chama ninachoona kinafaa kuhamia kwa uhuru huu wa mawazo na kujieleza nilikonako. CHADEMA ikibadili uongozi wa juu kidemocrasia naweza fikiria kwenda huko. Hawa waliopo hawawezi kunivumilia hata kidogo.
Kama hiyo Shipping Agency haikushtakiwa wala Mh Kinana kukamatwa huo unabaki kuwa uvumi na uzushi tu. Endeleeni nao ingawa hamuwezi kuuthibitisha.
mkuu mimi nawajua sana kwa matukio mengi ya kulipuka kwa bomu kama lile liltokea uwanja wa soweto Arusha mimi nilinusurika kwenye tukio nilitazama zile picha za majeruhi roho iliniuma sana kumbe wahusika wa kulipua yale mabomu kwenye mkutano wa CHADEMA ni wahuni wa ccm wana roho za kishetani kabisa .
Kudharauliwa na Shetani ni sifa kwa mfuasi wa Mungu
Kwa hio wewe dharau tu.
CCM mnahusika na mauaji na walemavu wa Ngozi