Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

a

Padre Slaa alivuruga useja muda mrefu kabla hajaacha upadre. Huyu baba muda huu angekuwa ni Askofu kwa nafasi ile aliokuwa nayo TEC. Makatibu wengi wa TEC kama si wote wamekuwa Maaskofu. Hauwezi kuiacha sacramenti ile halafu ukawa kiongozi mzuri kwingineko.

Hiyo Shipping Agency iliachwaje na Wachina walivyo wakali vile?

Naona ulikuwa unamshikia miguu .
 
Umejitahidi kuleta uzushi kuwa Dr alizaa kabla ya kusudio la kuachana na Upadre, lakini umejibiwa kisha unahamia kwenye uaskofu mkuu???

Nani kakwambia kiongozi wa kiroho hawezi kuwa kiongozi wa umma?

Nenda Ujerumani, mapadre hulipwa mishahara na serikalu, nenda Arabuni, Mashehe wote hulipwa mishahara na serikali.

Kama hujui omba ujulishwe mkuu
Kwani Upadre kaacha lini Dr Slaa? Au ukishakusudia kuacha na kuzaa kunaanza palepale. Dr Slaa bado ni padre wetu pamoja na wajukuu alionao sasa. Hawezi tu kuongoza misa au ibada kwa sababu ya hayo makandokando yake

Unanipa mifano ya nchi ambazo DINI au dhehebu ni rasmi kiserikali? Tanzania serikali yetu haina DINI wala dhehebu.
 
Ushakosa hoja sasa...Tumekujibu yote kuhusu Dr Slaa unaanza kuja na General Comments za Ki CCM....No wonder CCM hoooliiganns will never understand anything.

Agency iko domiciled Tanzania...yenyewe ndiyo iliyopakia mzigo....kushughuikiwa ilitakiwa ishughulikiwe na Jurisdiction ya Tanzania...Lakini kwa sababu serikali yote ni Corrupt...Nothing was done

Umeelewa sasa?
Ni kweli mimi ni CCM tangu mwaka 1985 nilipokuwa JKT. Sijalipa ada kwa muda mrefu kidogo. Hata Dr Slaa tulikuwa naye huku. Ni uchu wa Ubunge ulimwondoa huku CCM.

Sasa kama hii Shipping Agency ya Mh Kinana haikupata kushtakiwa kokote huu uvumi na uzushi mnautoa wapi?
 
Mkuu Yericko Nyerere naogopa wasije kukukolimba, kukumwangosi, au kukulimboka maana hawa watu ni siwaelewi elewi shujaa.

Umekuwa mjasiri hadi nahisi umepitiliza.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mimi ni CCM tangu mwaka 1985 nilipokuwa JKT. Sijalipa ada kwa muda mrefu kidogo. Hata Dr Slaa tulikuwa naye huku. Ni uchu wa Ubunge ulimwondoa huku CCM.

Sasa kama hii Shipping Agency ya Mh Kinana haikupata kushtakiwa kokote huu uvumi na uzushi mnautoa wapi?

Ni shetani tu au mtu mwenye moyo wa kishetani anaweza kuvumilia kuendelea kuwa CCM.
Mkuu,.....Nimekufa fact zote.....huo unaosema ni uvumi ni kipi? Kampuni ya kinana haijafikishwa mahakamani kwa sababu serikali ni corrupt...haiwezi kuchukua hatua hasa kwa watu kama kina kinana ambaye ni katibu mkuu wa chama kinacholea wizi wa mali za Uma Tanzania
 
Dr Slaa aliomba kuacha uPadri tangu mwaka 1986....Wakati huo hata mtoto mmoja hajazaliwa...Acha kupotosha

Sema Process ya hadi Pope ku approve hua inachukua miaka

Na ndicho kilichotokea.

Aliamua yeye kuacha kwa dhamiri yake bila kushurutishwa na mtu yeyote

Naturally ukiishi na mtu under one roof kwa miezi sita while cohabiting hio ni ndoa...Marriage Act ya Tanzania,1971.Ndicho kilichotokea kwa Rose.

Tuyaache hayo.

Ukatibu mkuu mzuri wa kinana unatokana na nini?
Huyu amenufaika na mapato haramu...anafaa kujiuzulu...hafai hata kusimama mbele ya watu
CCM ni chafu...sio imeharibika kiasi....Imeoza
Usidanganye watu kuwa eti ukiwa na kampuni ya Usafiri utasafiri unasafirisha kila kitu...really? Hata madawa ya kulevya?

Uko deep Mkuu,wengine wanajiropokea tu,wenye kujua ukweli tunakaa kuwatazama tu wanavyotaka kupotosha watu hapa.Topic ni Mauaji ya albino,mtu anatoka atokako na Dr.Slaa.Sijui ndio nitoke vipi ya kimagamba,ili hizo kambi za Urais zimuone na yeye ni bingwa wa propaganda,apate japo ajira ya kucomment mitandaoni.
 
Yericko anahitaji kuelimishwa, maana hata huko Kalenga kwenye Makumbusho ya Mkwawa hajawahi kufika, na wala hajui Kalenga kijiografia iko wapi katika nchi hii. Aelimishwe tu!
 
Oooh, kwa hiyo wanatumia magobole ya makumbusho ya Mkwawa, Kalenga Iringa?

Hilo unasema wewe...lakini huyo ni mshirika wa kinana....silaha wanatumia zingine zaidi ya hiyo....hauoni hata namna wanavyoshika silaha inafanana.....Trained Majangili
 
Yericko ni mtuhumiwa namba moja kwenye haya mauaji halafu mpaka leo hajaweza kujibu tuhuma zake zinazomkabili,

Lazaboni aliwahi kuweka uzi ambao unaelezea vizuri sana anavyohusika na hili sakata.

Simiyu inabidi upunguze maneno yako yasiyojenga nchi vinginevyo hata mwezi june hautafikiliwa kupewa nafasi ya udc.....
 
Ni kweli mimi ni CCM tangu mwaka 1985 nilipokuwa JKT. Sijalipa ada kwa muda mrefu kidogo. Hata Dr Slaa tulikuwa naye huku. Ni uchu wa Ubunge ulimwondoa huku CCM.

Sasa kama hii Shipping Agency ya Mh Kinana haikupata kushtakiwa kokote huu uvumi na uzushi mnautoa wapi?

Acha mbwembwe wewe jua kali.kujipa promo tu hapa kwa muono huu ulioandika hapa darasa la saba linakuhusu wazee wengi waliosoma wa enzi hizo wana busara sana hawawezi kuja kuandika uongo humu mtu mzima hovyoooo.
 
CCM ni wauwaji...kuna ushahidi usio na shaka kwamba mtoto aliyeuawa juzi ni viongozi wa CCM wasaka urais kundi la mwigulu ndi waliohusika.....Kuna ushahidi wa wazi...narudia...wakati ukifika tutayaweka wazi

Mkuu usitake kuniambia kale kauhusiano kake na yule "mwenye helkopta" aliyejitolea kuzunguka naye kabla hajapigwa Ban kana jambo ndani yake!
Habari hizi zinahitaji zifanyiwe kazi. Tumechoka kuwavumilia.
 
Ni shetani tu au mtu mwenye moyo wa kishetani anaweza kuvumilia kuendelea kuwa CCM.
Mkuu,.....Nimekufa fact zote.....huo unaosema ni uvumi ni kipi? Kampuni ya kinana haijafikishwa mahakamani kwa sababu serikali ni corrupt...haiwezi kuchukua hatua hasa kwa watu kama kina kinana ambaye ni katibu mkuu wa chama kinacholea wizi wa mali za Uma Tanzania
Mimi ngoja nibaki kuwa shetani. Sina chama ninachoona kinafaa kuhamia kwa uhuru huu wa mawazo na kujieleza nilikonako. CHADEMA ikibadili uongozi wa juu kidemocrasia naweza fikiria kwenda huko. Hawa waliopo hawawezi kunivumilia hata kidogo.

Kama hiyo Shipping Agency haikushtakiwa wala Mh Kinana kukamatwa huo unabaki kuwa uvumi na uzushi tu. Endeleeni nao ingawa hamuwezi kuuthibitisha.
 
Mkuu usitake kuniambia kale kauhusiano kake na yule "mwenye helkopta" aliyejitolea kuzunguka naye kabla hajapigwa Ban kana jambo ndani yake!
Habari hizi zinahitaji zifanyiwe kazi. Tumechoka kuwavumilia.

Mkuu...Mwigulu anahusika sana na hili suala...na team yake ya Urais kwa yule mgombea wao.....Nimekwambia ushahidi upo...ni swala la muda tu
 
Mimi ngoja nibaki kuwa shetani. Sina chama ninachoona kinafaa kuhamia kwa uhuru huu wa mawazo na kujieleza nilikonako. CHADEMA ikibadili uongozi wa juu kidemocrasia naweza fikiria kwenda huko. Hawa waliopo hawawezi kunivumilia hata kidogo.

Kama hiyo Shipping Agency haikushtakiwa wala Mh Kinana kukamatwa huo unabaki kuwa uvumi na uzushi tu. Endeleeni nao ingawa hamuwezi kuuthibitisha.

Again watu huwa hawafuati individuals...watu wenye akili wanafuata sera
 
mkuu mimi nawajua sana kwa matukio mengi ya kulipuka kwa bomu kama lile liltokea uwanja wa soweto Arusha mimi nilinusurika kwenye tukio nilitazama zile picha za majeruhi roho iliniuma sana kumbe wahusika wa kulipua yale mabomu kwenye mkutano wa CHADEMA ni wahuni wa ccm wana roho za kishetani kabisa .

Wanatumikia free masonry
 
Kudharauliwa na Shetani ni sifa kwa mfuasi wa Mungu

Kwa hio wewe dharau tu.

CCM mnahusika na mauaji na walemavu wa Ngozi

We mfuasi wa MUNGU gani unayeshuhudia uongo kwa viapo? Unaweza kuthibitisha upuuzi wenu huo?
 
Back
Top Bottom