Wauwawe tu!
Huu si utawala wa sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauwawe tu!
Msome tena, utamuelewa
Msome tena, utamuelewa
Mimi siungi mkono mauaji ya albino ila utawala wa sheria uzingatiwe.mfano angekamatwa apelekwe kituoni,upelelezi ufanyike akikutwa na hatia afungwe.ila kuua ua si nzuri nimeshuhudia wengi wameuwawa kwa makosa.anaweza kukiri kutokana na kichapo.maana watu wengi wanakiri polisi baada ya kipigo ila kiuhalisia hawajafanya.
umejibu Kwa jazba bila kuelewa alichoandika
Mimi siungi mkono mauaji ya albino ila utawala wa sheria uzingatiwe.mfano angekamatwa apelekwe kituoni,upelelezi ufanyike akikutwa na hatia afungwe.ila kuua ua si nzuri nimeshuhudia wengi wameuwawa kwa makosa.anaweza kukiri kutokana na kichapo.maana watu wengi wanakiri polisi baada ya kipigo ila kiuhalisia hawajafanya.
da safi sana...roho yangu imesuhuzika..big up wanakijiji..mambo mengine sio mpaka kusubiria serikali.
raia hawaziamini tena taasisi za serkali ya CCM zenye mamlaka ya kusimamia na kutekeleza sheria.mfn jeshi la polisi na mahakama.
bora tu walivyo jichukulia sheria mkononi.
Kuna mambo kwenye nji hii kwa sasa tunayafanya kwa lazima kwa sasa, sababu serekali imekuwa legelege inatia aibu kabisa wakiuwawa wawili watatu watakoma
Wapo wengi huko polisi kwako unaposema na hakuna lolote linalofanyika ndugu zetu wanazidi kuumia hivi unadhani hicho kijiji huyo wakala alipouwawa kuna atakayetafuta hivyo viungo kwa muda huu, now wameingiwa hofu kidogo wakiuwawa wengine itakuwa vizuri sana sina imani hata asilimia 20 na serikali hii
Mimi siungi mkono mauaji ya albino ila utawala wa sheria uzingatiwe.mfano angekamatwa apelekwe kituoni,upelelezi ufanyike akikutwa na hatia afungwe.ila kuua ua si nzuri nimeshuhudia wengi wameuwawa kwa makosa.anaweza kukiri kutokana na kichapo.maana watu wengi wanakiri polisi baada ya kipigo ila kiuhalisia hawajafanya.
oops i didn't know :iamwithstupid:.Wewe utakuwa bavicha(baraza la vichaa chadema)
Wewe utakuwa bavicha(baraza la vichaa chadema)
Wewe utakuwa bavicha(baraza la vichaa chadema)
Sawa mkuu. Naomba nikuulize jambo moja. Bariadi ni moja ya maeneo ambayo mauaji hayo yamekisiri sana, jee ulishawahi kusikia kauli hata moja tuu kutoka kwa mwakilishi wa wananchi wa Bariadi Mhe Chenge? Anyway sio kwamba namtuhumu nimetoa mfano tuu wa Wabunge wa maeneo hayo.Mi nasapoti 10000%. Wachunguzwe.
Hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.
Kumekuwa na maneno mengi sana ya kuhusisha mauaji ya ndugu zetu Albino na harakati za uchaguzi mkuu. Hali hii ni tokea mwaka 2005 hadi sasa. Nimejaribu kusikiliza baadhi ya kauli za wabunge kadhaa watokao kanda ya ziwa kuliko bobea mauaji hayo kuna kitu kinaleta alama nyingi za kuuliza kwani baadhi yao pamoja na kukithiri kwa mambo hayo katika majimbo yao wamekuwa na kigugumizi kama vile kuna kitu wanajua au wanahusika.
Jee sio jambo jema kiuchunguzi tukaanza nao kwa kupitia mamlaka zinazohusika na wananchi wenyewe (kama upelelezi shirikishi) ili kujua ukweli na kuponya ndugu zetu? Nakumbuka 2010 mgombe mmoja toka chama kimoja alihusishwa wazi wazi na tuhuma hizo za kishirikina kule Kigoma lakini alilindwa na hakufanywa lolote lile.