Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

We mfuasi wa MUNGU gani unayeshuhudia uongo kwa viapo? Unaweza kuthibitisha upuuzi wenu huo?

Ni lazima mwizi ukikamatwa red handed ukane

Ninyi mnajulikana ni Nyoka wenye makengeza

And wakati huu tunaenda kuumwaga ushahidi hadharani

Wallah,Dunia nzima itashangaa....na wakati huo utaungana nasi...kwa sababu hautaamini huo uchafu mlionao

Ushahidi upo...ni suala la muda tu
 
Again watu huwa hawafuati individuals...watu wenye akili wanafuata sera
Jaribu kumwondoa Mbowe kidemocrasia tu uone kama akina Lema watabaki humo. Wachache wanajiunga kwenye vyama kwa kufuata sera.

Hata akina Aweda hawabaki CHADEMA Dr Slaa akiacha ukatibu mkuu tu!
 
Ushahidi usio na shaka unaonesha kuwa Tangu Kikwete aingie madarakani ,Walemavu wa Ngozi 76 wameuawa

18 wamepata ulemavu wa kudumu

Serikali ya kikwete kupitia makada wake wa CCM wamekua wakihusika sana na mauaji ya ndugu zetu hawa.

Viongozi wa ccm,kama ilivyothibitishwa na Mwenyekiti wa Wachawi Tanzania,Dr Maji Marefu (Mbunge wa Korogwe,CCM) Wamekuwa wakitumia viungo hivyo vya binadamu kama mbinu ya kusaka madaraka kwa imani za kichawi.

Hayo yalithibitishwa na Mwenyekiti huyo wa wachawi kutoka CCM alipoahidi kumpatia Ulinzi mgombea ajaye wa Urais Kupitia CCM,Lowassa
 
a

Padre Slaa alivuruga useja muda mrefu kabla hajaacha upadre. Huyu baba muda huu angekuwa ni Askofu kwa nafasi ile aliokuwa nayo TEC. Makatibu wengi wa TEC kama si wote wamekuwa Maaskofu. Hauwezi kuiacha sacramenti ile halafu ukawa kiongozi mzuri kwingineko.

Hiyo Shipping Agency iliachwaje na Wachina walivyo wakali vile?

Ndugu huhaeleweka kidogo fafanua tukuelewe pls
 
Yericko anahitaji kuelimishwa, maana hata huko Kalenga kwenye Makumbusho ya Mkwawa hajawahi kufika, na wala hajui Kalenga kijiografia iko wapi katika nchi hii. Aelimishwe tu!

Kwa jina lako wewe ni muhamiaji haramu (amajambele go murwanda)
 
Umejitahidi kuleta uzushi kuwa Dr alizaa kabla ya kusudio la kuachana na Upadre, lakini umejibiwa kisha unahamia kwenye uaskofu mkuu???

Nani kakwambia kiongozi wa kiroho hawezi kuwa kiongozi wa umma?

Nenda Ujerumani, mapadre hulipwa mishahara na serikalu, nenda Arabuni, Mashehe wote hulipwa mishahara na serikali.

Kama hujui omba ujulishwe mkuu

Anaruka ruka kama mahindi ya pop corn ndani ya kikaango.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu,nilikuwa namwangalia tu kuhusu mjadala wa Dr Slaa kuacha upadri,jamaa ni bonge ya mpotoshaji.Kumbe watu makini wamekwenda nae man to man mwisho atarukia maswala ya Vatican.
 
Mkuu usitake kuniambia kale kauhusiano kake na yule "mwenye helkopta" aliyejitolea kuzunguka naye kabla hajapigwa Ban kana jambo ndani yake!
Habari hizi zinahitaji zifanyiwe kazi. Tumechoka kuwavumilia.

Anaitwa msukuma mwenyekiti wa ccm mkoa wa Geita......
 
Anaruka ruka kama mahindi ya pop corn ndani ya kikaango.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu,nilikuwa namwangalia tu kuhusu mjadala wa Dr Slaa kuacha upadri,jamaa ni bonge ya mpotoshaji.Kumbe watu makini wamekwenda nae man to man mwisho atarukia maswala ya Vatican.

Hawa vijana wa lumumba usipokomaa nao ni waongo haijapata kutokea
 
WATANZANIA wenzangu,

Mauaji ya Albino, vikongwe, tusiyahusishe na chama au kiongozi yoyote. Ni janga letu sote kwa UPUMBAVU wetu. Tunatakiwa kuungana pamoja kulitafutia ufumbuzi janga au maafa haya ya AIBU ya kujitakia. Mimi napendekeza yafuatayo:
-Ipigwe kura ya siri kwenye maeneo yaliyokubuhu ili kuwabaini waganga, wauaji, walanguzi na watumiaji wa viungo hivi. Enzi za Mwalimu, wizi wa mifugo ulipokuwa umekithiri sana kule mkoani Mara kura namna hii ilipigwa, wezi wakabainika, wakahamishiwa kusikojulikana. Baadhi walirudi wamezeeka na wengine hawakurudi kabisa.

-Kiundwe kikosi maalum cha kiintelijensia, kiwezeshwe kitaaluma na kirasilmali ili kiweze kuifanya kazi hii. Hawa wapelekwe vijijini kwa njia mbalimbali kama walimu, watendaji, makarani,..., kikosi hiki kiripoti mojakwamoja ofisi ya Rais;

-Hatua za haraka zichukuliwe kuwarudisha Albino wote vijijini na mijini. Wengine wanaishi porini sana;
 
Jaribu kumwondoa Mbowe kidemocrasia tu uone kama akina Lema watabaki humo. Wachache wanajiunga kwenye vyama kwa kufuata sera.

Hata akina Aweda hawabaki CHADEMA Dr Slaa akiacha ukatibu mkuu tu!

Mkuu,
Nimecheka sana kwa sababu hata Dr Slaa mwenyewe anajua kuwa sikuja Chadema kwa sababu ya kumfuata mtu.
 
WATANZANIA wenzangu,

Mauaji ya Albino, vikongwe, tusiyahusishe na chama au kiongozi yoyote. Ni janga letu sote kwa UPUMBAVU wetu. Tunatakiwa kuungana pamoja kulitafutia ufumbuzi janga au maafa haya ya AIBU ya kujitakia. Mimi napendekeza yafuatayo:
-Ipigwe kura ya siri kwenye maeneo yaliyokubuhu ili kuwabaini waganga, wauaji, walanguzi na watumiaji wa viungo hivi. Enzi za Mwalimu, wizi wa mifugo ulipokuwa umekithiri sana kule mkoani Mara kura namna hii ilipigwa, wezi wakabainika, wakahamishiwa kusikojulikana. Baadhi walirudi wamezeeka na wengine hawakurudi kabisa.

-Kiundwe kikosi maalum cha kiintelijensia, kiwezeshwe kitaaluma na kirasilmali ili kiweze kuifanya kazi hii. Hawa wapelekwe vijijini kwa njia mbalimbali kama walimu, watendaji, makarani,..., kikosi hiki kiripoti mojakwamoja ofisi ya Rais;

-Hatua za haraka zichukuliwe kuwarudisha Albino wote vijijini na mijini. Wengine wanaishi porini sana;
Hoja yako ni nzuri lakini haiondoi ukweli kuwa wahusika hawapatikani kwa sababu ni baadhi yao ni vigogo serikalini na kwenye chama tawala
 
WATANZANIA wenzangu,

Mauaji ya Albino, vikongwe, tusiyahusishe na chama au kiongozi yoyote. Ni janga letu sote kwa UPUMBAVU wetu. Tunatakiwa kuungana pamoja kulitafutia ufumbuzi janga au maafa haya ya AIBU ya kujitakia. Mimi napendekeza yafuatayo:
-Ipigwe kura ya siri kwenye maeneo yaliyokubuhu ili kuwabaini waganga, wauaji, walanguzi na watumiaji wa viungo hivi. Enzi za Mwalimu, wizi wa mifugo ulipokuwa umekithiri sana kule mkoani Mara kura namna hii ilipigwa, wezi wakabainika, wakahamishiwa kusikojulikana. Baadhi walirudi wamezeeka na wengine hawakurudi kabisa.

-Kiundwe kikosi maalum cha kiintelijensia, kiwezeshwe kitaaluma na kirasilmali ili kiweze kuifanya kazi hii. Hawa wapelekwe vijijini kwa njia mbalimbali kama walimu, watendaji, makarani,..., kikosi hiki kiripoti mojakwamoja ofisi ya Rais;

-Hatua za haraka zichukuliwe kuwarudisha Albino wote vijijini na mijini. Wengine wanaishi porini sana;

Hatuwezi kuungana na wauaji, umoja wa wahalifu ni uhalifu pia.
 
Back
Top Bottom