Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Uko sahihi kabisa...Inabidi uchunguzi ufanyike kuanzia sasa....Nitatoa jibu kufikia kesho mchana
Mkuu Freeland,,,"salute sir"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa...Inabidi uchunguzi ufanyike kuanzia sasa....Nitatoa jibu kufikia kesho mchana
Lete picha yako ukiwa umelishika hilo gobole
We mfuasi wa MUNGU gani unayeshuhudia uongo kwa viapo? Unaweza kuthibitisha upuuzi wenu huo?
Jaribu kumwondoa Mbowe kidemocrasia tu uone kama akina Lema watabaki humo. Wachache wanajiunga kwenye vyama kwa kufuata sera.Again watu huwa hawafuati individuals...watu wenye akili wanafuata sera
Unaweza zijuwa silaha zaidi ya Kanali wa JWTZ?
Uko sahihi kabisa...Inabidi uchunguzi ufanyike kuanzia sasa....Nitatoa jibu kufikia kesho mchana
Unaweza zijuwa silaha zaidi ya Kanali wa JWTZ?
Jaribu kumwondoa Mbowe kidemocrasia tu uone kama akina Lema watabaki humo. Wachache wanajiunga kwenye vyama kwa kufuata sera.
Hata akina Aweda hawabaki CHADEMA Dr Slaa akiacha ukatibu mkuu tu!
Kama tupo hai tukukumbushe au wewe mwenyewe utakumbuka?
a
Padre Slaa alivuruga useja muda mrefu kabla hajaacha upadre. Huyu baba muda huu angekuwa ni Askofu kwa nafasi ile aliokuwa nayo TEC. Makatibu wengi wa TEC kama si wote wamekuwa Maaskofu. Hauwezi kuiacha sacramenti ile halafu ukawa kiongozi mzuri kwingineko.
Hiyo Shipping Agency iliachwaje na Wachina walivyo wakali vile?
Yericko anahitaji kuelimishwa, maana hata huko Kalenga kwenye Makumbusho ya Mkwawa hajawahi kufika, na wala hajui Kalenga kijiografia iko wapi katika nchi hii. Aelimishwe tu!
Umejitahidi kuleta uzushi kuwa Dr alizaa kabla ya kusudio la kuachana na Upadre, lakini umejibiwa kisha unahamia kwenye uaskofu mkuu???
Nani kakwambia kiongozi wa kiroho hawezi kuwa kiongozi wa umma?
Nenda Ujerumani, mapadre hulipwa mishahara na serikalu, nenda Arabuni, Mashehe wote hulipwa mishahara na serikali.
Kama hujui omba ujulishwe mkuu
Mkuu usitake kuniambia kale kauhusiano kake na yule "mwenye helkopta" aliyejitolea kuzunguka naye kabla hajapigwa Ban kana jambo ndani yake!
Habari hizi zinahitaji zifanyiwe kazi. Tumechoka kuwavumilia.
We mfuasi wa MUNGU gani unayeshuhudia uongo kwa viapo? Unaweza kuthibitisha upuuzi wenu huo?
Unaweza zijuwa silaha zaidi ya Kanali wa JWTZ?
Anaruka ruka kama mahindi ya pop corn ndani ya kikaango.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu,nilikuwa namwangalia tu kuhusu mjadala wa Dr Slaa kuacha upadri,jamaa ni bonge ya mpotoshaji.Kumbe watu makini wamekwenda nae man to man mwisho atarukia maswala ya Vatican.
Jaribu kumwondoa Mbowe kidemocrasia tu uone kama akina Lema watabaki humo. Wachache wanajiunga kwenye vyama kwa kufuata sera.
Hata akina Aweda hawabaki CHADEMA Dr Slaa akiacha ukatibu mkuu tu!
Hoja yako ni nzuri lakini haiondoi ukweli kuwa wahusika hawapatikani kwa sababu ni baadhi yao ni vigogo serikalini na kwenye chama tawalaWATANZANIA wenzangu,
Mauaji ya Albino, vikongwe, tusiyahusishe na chama au kiongozi yoyote. Ni janga letu sote kwa UPUMBAVU wetu. Tunatakiwa kuungana pamoja kulitafutia ufumbuzi janga au maafa haya ya AIBU ya kujitakia. Mimi napendekeza yafuatayo:
-Ipigwe kura ya siri kwenye maeneo yaliyokubuhu ili kuwabaini waganga, wauaji, walanguzi na watumiaji wa viungo hivi. Enzi za Mwalimu, wizi wa mifugo ulipokuwa umekithiri sana kule mkoani Mara kura namna hii ilipigwa, wezi wakabainika, wakahamishiwa kusikojulikana. Baadhi walirudi wamezeeka na wengine hawakurudi kabisa.
-Kiundwe kikosi maalum cha kiintelijensia, kiwezeshwe kitaaluma na kirasilmali ili kiweze kuifanya kazi hii. Hawa wapelekwe vijijini kwa njia mbalimbali kama walimu, watendaji, makarani,..., kikosi hiki kiripoti mojakwamoja ofisi ya Rais;
-Hatua za haraka zichukuliwe kuwarudisha Albino wote vijijini na mijini. Wengine wanaishi porini sana;
WATANZANIA wenzangu,