Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Nchi hii kila siku utasikia viingozi wetu wanatuhakikishia kuwa jambo "hili" halitatokea tena!

Mbona yanazidi kutokea tu?Au wahusika wakuu ni ninyi wenyewe?Na sana sana kila tunapoelekea kwenye uchaguzi mambo haya huwa pacha!
 
Usikane uraia wako! Ni kweli serikali hii inatia hasira na hiyo inatokana na uzembe wa viongozi wachache,dawa yao ni ku is gush a serikali ya ccm tu
 
Nimecheka sanaa baada ya kusoma hii post mwisho nimejikuta nalia kwakuwa siku moja nitakuwa rais wa Tanzania nimeona mzigo mkubwa nitakao kuwa nao kuwafanya wananchi kujivunia utanzania wao..
 
wiseboy.,

Dah! pole sana kaka yaani umenifanya nitoe chozi maana ni aibu yaani niupuuzi na zaidi ni uzembe inatia kinyaa atakusimulia yaani sijui mijitu inawaza nn juu ya hawa ndugu wanaishi km watumwa kwann lakini nyie wenye akili potofu msiokuwa na hofu ya mungu pole sana kk

tafadhali usiukane uraia wa hii nchi ila mungu anajua nafsini mwako km unachukia hii hali na uipendi pole sana kk ila kwangu natangaza ole wako ww muaji wa albino nikubaini nitakachokufanya itakua historia ktk hii nchi iliyojaa laana
 
Last edited by a moderator:
Tuachie nchi yetu kisiwa cha amani wewe unaonekana unapenda vurugu hamia somalia huko ili ukalipuane

sio maneno yangu baadhi ya wapumbavu watasema hivi nimejaribu tu kuwasemea
 
Kiukweli kwenyeuso wa dunia niaibu sana, inatia fedheha kujiita mtanzania. ''Unatokea ile sehemu wanayou uwa watu?'' Ni fedheha sana, njia mbadala na madhubuti inatakiwa ili kudhibiti hii hali isitokee tena nakuliepushia Taifa letu aibu hii kubwa.
 
ikiwa wiki moja tangu rais kikwete atoe msimamo juu ya mauaji ya albino, tukio hilo limetokea tena huko sumbawanga mpanda, kwa mtoto kukatwa kiganja cha mkono. je, rais aliongea kwa nia ya dhati??

na ni kwel serikali ina nia ya dhati kutokomeza mauaji hayo? na hao watuhumiwa 13 wa kunyongwa rais amekwisha saini?na kwa nini wasionyeshe kwny tv hao wanaotakiwa kunyongwa?
 
Umeongea kitu cha maana saana ila umekiwasilisha ki wise boy wise boy hivi.

Maana una thread zako unaanzishaga humu kundi kubwa linalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako.
 
unjua ngja nkwambie hz hwa ni propaganda2 ili kuwardhsha wa2 otherwise hwana lolote.
 
wiseboy.,

Sio Tanzania peke yake , umedanganya...hat Congo...leo tu mtoto ametekwa nyara...chunguza kwanz kabl y kuandk...

Istosh, hat hyo adhabu ikishuk autonusrik...unatakiw upamban mpak hak itawale, fkiria, wote tukiukn uraia, nan atapaz saut kupiga vita huo unyama...

TAFAKARI.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wiseboy nakushauri hamia Syria hakika hutojuta ukiwa huko.
 
Back
Top Bottom