Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

I agree the killing are disgusting, another thing that is disgusting is Masha himself.

Look here, I quote, as a man sayeth, so he thinketh

``The killings are an embarrassment and a disgrace to the good image of our country. Police are failing to operate well, despite making efforts, due to lack of resources,``

Is that the best you can do Mr? Kwamba the thing that mostly concern you is the image of the country and not the fact that innocent albinos die?

What if they were dying quietly, with no embarassment to the image of our country? Would that be OK?

Huh?

The more these guy opens up the more they expose their mental nakedness. At no point in the piece did he even feign some fake "machozi ya mamba" simpathy for the poor souls.

Hivi hawa watu miaka wanayopoteza vyuoni huko wanafanya nini? Miaka wanayofanya kazi serikalini / ubunge/ viwanja huko, ambako tunafikiri inaweza kuwapa exposure zaidi wanafanya nini?
 
Last edited:
Kwenu wananchi,,hii ni karaha kama si laana ya maisha,,sijawahi kuona mauaji
yakifanyika hivi tangu nizaliwe miaka 35 iliyopita na cha ajabu ni kuona WAZIRI anaeshugulikia usalama wa wananchi akiwa na nguvu kabisa
bila aibu ya kuzaliwa kupinga hadharani vyombo vya wanahabari kwa kuwashambulia ::..::..:WANAHABARI WANAENEZA UONGO WA MAUAJI
HUKU WATU WAKIUWA NA WAZIRI HUSIKA AKIKAA KIMYA!!!JE HUYU ANATOFAUTI GANI NA
VIONGOZI WENGINE WALIOFIKISHWA MAHAKAMA YA THE H

Bado Waziri mhusika anahudhuria vikao vya siri vya kupanga namna ya kuwahujumu wananchi wanaopiga vita ufisadi. Hivyo unaweza kuona swali la kuuwawa kwa Maalbino bado halipewi umuhimu wake - kuna mambo yanayohitaji kushughulikiwa kwanza k.m. nani anavujisha siri za vikao hivi haramu.
 
I agree the killing are disgusting, another thing that is disgusting is Masha himself.

Look here, I quote, as a man sayeth, so he thinketh



Is that the best you can do Mr. Minister? Kwamba the thing that mostly concern you is the image of the country and not the fact that innocent albinos die?

What if they were dying quietly, with no embarassment to the image of our country? Would that be OK?

Huh?

The more this guy opens his mouth the more he exposes his mental nakedness.

Hivi hawa watu miaka wanayopoteza vyuoni huko wanafanya nini? Miaka wanayokaa viwanja huko, ambako tunafikiri inaweza kuwapa exposure zaidi wanafanya nini?

Au ndiyo kuuza pizza kunazidi masomo na exposure? Soory for going that low but the question begs to be asked.

Kukaa kiwanja hakukupi wala kukuongezea common sense. Kusoma vyuoni hakukupi common sense. Common sense is that "it" thing. You either have "it" or you don't and the more this guys opens his mouth the more he reveals that he doesn't have "it".

Nikikwambia kuwa pale UDSM kuna ma prof. ambao ni walevi wa mipombe michafu na baada ya kazi huwa wanatinga kwenye mivilabu ya mipombe hiyo itakuwa ngumu kuamini hasa ukizingatia kuwa hawa ndio wanapaswa kuwa creme de la creme wa wasomi wetu. Huko kwenye mivilabu wanalewa chakari hadi wanajikojolea, wanatapika, wanalala kwenye mitaro, halafu kesho yake au keshokutwa yake wanatakiwa kutoa mhadhara katika symposium flani let's say Kempiski....itakayohudhuriwa na washiriki wa kimataifa. You probably would wonder where is their common sense!!!
 
..Nikikwambia kuwa pale UDSM kuna ma prof. ambao ni walevi wa mipombe michafu na baada ya kazi huwa wanatinga kwenye mivilabu ya mipombe hiyo itakuwa ngumu kuamini hasa ukizingatia kuwa hawa ndio wanapaswa kuwa creme de la creme wa wasomi wetu. Huko kwenye mivilabu wanalewa chakari hadi wanajikojolea, wanatapika, wanalala kwenye mitaro, halafu kesho yake au keshokutwa yake wanatakiwa kutoa mhadhara katika symposium flani let's say Kempiski....itakayohudhuriwa na washiriki wa kimataifa. You probably would wonder where is their common sense!!!

Wanasema kuna Kuelimika Kiutu na Kuelimika kiakili.

Ni kama usiku na mchana.

Utaona wengi wameelemea wapi. Kiwango kikubwa cha akili peke yake bila msaada wa kiwango kizuri cha elimu ya UTU...matokeo yake ni matap tap ...na kupatwa na kuwa shoked kwenye matukio makubwa kama kuteketezwa kwa albino na kubabaika bila kuja Uamuzi sahihi wa kuchukua ni upi..

The counrty is paralised ...kuamkia jana kapigwa risasi mwigine akijificha darini baada ya kuwasikia wakivunja nyumba kumvizia na kumvua kama samaki wanavyovuliwa.

Bado hakuna cha maana kuwanusuru hawa albino. Ni kama sinema vile!!!

Kila mtu yuko busy kivyake...!

Wakutafuta namna ya kuhonga ili janga la kesi ya EPA limpitie mbali...wa kuvutana kwenye vyombo vya habari..wengine wanajiandaa kwa uchaguzi wa 2010 .... vikao vya kuozesha wanao..etc...all Shi.T

But

Mwanadamu Mtanzania anawindwa kama nzige na kutumiwa kama kitoweo...And nobody really care!

UTU umedidimia ...kifo kimekuwa kama jambo la kawaida kabisa...! Mtu anayongwa pale na watu waanshuhudia na wanakimbiza shughuli zao...Ni Nini hiki???????

Mungu ni wewe tu kimbilio...sasa twende wapi? Tunakuoba Ibariki Tanzania na ipuguzie kasi ya kudidimia..na hatimaye uiepushe kabisa kumezwa na kiza kinene ambacho sasa kikokaribu kabisa. Wewe Mwenyewe waamulie kile kilicho stahili hawa tuliowapa jukumu la kutuogoza...na

Ikibidi waodolee mabali kwani

Uvumilivu wetu utakapo mailizika ... HAPA ... Hapatatosha.

We will do what must be done

We will do the imposible

AND

Nobody can guess what that might be...
 
i heard kwamba there is an albino in Mbeya who sold his hand for 800,000/- in order to help his mother build a house lest she ends up empty handed , i was told by a friend that this was aired on the on the radio ..

The polise is still hunting down the culprits as the our brother, is nursing his wounds at the hospital where he is admitted.

Sincerely where this issue is concerned, i havent figured out the best way to protect hao ndugu zetu .. to deploy a policeman on every house with an albino may turn up too expensive .. i dont know .. maybe wafute mambo ya waganga wa kienyeji .. otherwise sote tuungane tuwe walinzi wa ndugu zetu hao .. kwa pamoja tutashinda nguvu za sheitani.
 
i heard kwamba there is an albino in Mbeya who sold his hand for 800,000/- in order to help his mother build a house lest she ends up empty handed , i was told by a friend that this was aired on the on the radio ..

Mambo gani tena haya...!?!

If this is purely true story...inafanya the whole issue very complicated.
 
Wenzetu EUROPE waliamua kuwachinja wachawi wote ili kuondokana na fikra hizi zinazo rudisha nyuma maendeleo

Witch trials in Early Modern Europe Witch trials in Early Modern Europe - Wikipedia, the free encyclopedia
The period of witch trials in Early Modern Europe came in waves and then subsided. There were early trials in the 15th and early 16th centuries, but then the witch scare went into decline, before becoming a big issue again and peaking in the 17th century. Some scholars argue that a fear of witchcraft started among intellectuals who believed in maleficium; that is, bad deeds. What had previously been a belief that some people possessed supernatural abilities (which sometimes resulted in protecting the people), now became a sign of a pact between these people with supernatural abilities and the devil. Witchcraft became associated with wild Satanic ritual parties in which there was much naked dancing, orgiastic sex, and cannibalistic infanticide.
Witch-hunts were seen across early modern Europe, but the most significant area of witch-hunting in modern Europe is often considered to be southwestern Germany.[1] In Germany the number of trials compared to other regions of Europe shows it to have been a late starter. Witch-hunts first appeared in large numbers in southern France and Switzerland during the 14th and 15th centuries. The peak years of witch-hunts in southwest Germany were from 1561 to 1670.[2] The first major persecution in Europe, that caught, tried, convicted, and burned witches in the imperial lordship of Wiesensteig in southwestern Germany, is recorded in 1563 in a pamphlet called True and Horrifying Deeds of 63 Witches.[3]
Estimates of the numbers of women, men and children executed for participating in witchcraft vary wildly depending on the method used to generate the estimate. Brian Levack, author of The Witch Hunt in Early Modern Europe, took the number of known European witch trials and multiplied it by the average rate of conviction and execution. This provided him with a figure of around 60,000 deaths.
 
Viongozi wetu wakubwa wa serikali na chama tawala wanashiriki sana kwenye ushirikina ndio maana unaendelea. Tuombe sana Mungu awafumbue macho waache hizo tabia zakijingajinga.
 
...this is scarry!...

SERIKALI wilayani Bukombe, mkoani Shinyanga, imebaini siri nzito ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), kuwa wanaohusika ni wafanyabiashara wakubwa, wanaowalipa wauaji mamilioni ya fedha.

Mauaji hayo ya albino, yanajumuisha makundi manne ya watu, wakiwamo wale wanaoonyesha walipo albino hao, wanaochagua albino anayefaa; na wanaotenganisha nyama ili kupata mifupa.

Alisema kundi la wanaoonyesha palipo na walemavu hao wa ngozi wamekuwa wakilipwa kuanzia Sh 200,000 wakati wauaji hao hulipwa kati ya Sh milioni 40 endapo mifupa ya aliyeuawa itapimwa na ubainika kuwa ni yenye mali inayotakiwa.

Alisema vipimo vinavyotumika kubaini mifupa yenye mali ni pamoja na wembe, sarafu ya zamani au mfupa kusogezwa kwenye radio na kama mawimbi yatacheza au radio kuzima, mfupa huo utakuwa na mali inayotakiwa.

Alisema mifupa ya walemavu hao wa ngozi ikifikishwa kwa tajiri anaweza kulipwa hadi Sh milioni 75 "lakini mpaka iwe imepimwa," alisema.



Mwananchi Read News...habari kamili unaweza isoma hapo! kinachotisha zaidi ni kiwango cha fedha kinachoshawishi watu wafanye ufisadi huo... Serikali na vyombo vya dola wataweza kweli kudhibiti hayo mauaji???

Inatisha!!!
 
Siri nzito kuhusu genge la mauaji ya albino zaanza kufichukaNa Julius Sazia, Shinyanga

SERIKALI wilayani Bukombe, mkoani Shinyanga, imebaini siri nzito ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), kuwa wanaohusika ni wafanyabiashara wakubwa, wanaowalipa wauaji mamilioni ya fedha.

Mauaji hayo ya albino, yanajumuisha makundi manne ya watu, wakiwamo wale wanaoonyesha walipo albino hao, wanaochagua albino anayefaa; na wanaotenganisha nyama ili kupata mifupa.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Magesa Mulongo, wakati wa ziara ya Chama cha Maalbino mkoani Shinyanga, kilichotembelea familia moja katika kijiji cha Bunyihuna wilayani Bukombe, baada ya kuuawa kwa mtu mwenye ulemavu wa ngozi Desemba Mosi mwaka huu.

Alisema kundi la wanaoonyesha palipo na walemavu hao wa ngozi wamekuwa wakilipwa kuanzia Sh 200,000 wakati wauaji hao hulipwa kati ya Sh milioni 40 endapo mifupa ya aliyeuawa itapimwa na ubainika kuwa ni yenye mali inayotakiwa.

Alisema vipimo vinavyotumika kubaini mifupa yenye mali ni pamoja na wembe, sarafu ya zamani au mfupa kusogezwa kwenye radio na kama mawimbi yatacheza au radio kuzima, mfupa huo utakuwa na mali inayotakiwa.

Alisema mifupa ya walemavu hao wa ngozi ikifikishwa kwa tajiri anaweza kulipwa hadi Sh milioni 75 “lakini mpaka iwe imepimwa,” alisema.

Mkuu huyo wa wilaya alisema, wameyabaini hayo baada ya kuwakamata wahusika wapatao saba wanaojihusisha na mauaji hayo katika tukio la Bukombe na tukio jingine lililokwama la wilayani Kahama, ambapo waliweka mtego baada ya kupewa taarifa za siri na raia wema la kutaka kuuawa kwa albino mmoja.

"Tumebaini siri nzito katika mauaji haya ya albino; na hasa baada ya kuweka mtego wilayani Kahama ambapo wahusika walijipanga, wakavaa magwanda yao na kuficha sura zao na baadaye wakampigia simu tajiri yao aliyepo wilayani Igunga mkoani Tabora kuwa wako tayari kwa shughuli hiyo na walipokusanyika wote tayari kwa mauaji hayo, tukawakamata na kuanza kuwahoji," alisema.

Aliongeza kuwa, katika mahojiano hayo, alikuwepo pia mganga wa jadi aliyekamatwa na viungo vya albino wilayani Bukombe, ambaye naye aliwaeleza hatua kwa hatua jinsi wanavyotekeleza mauaji hayo, malipo wanayopewa na matajiri wao na namna anavyopima mifupa hiyo ili kutambua yenye mali.

"Tulichokibaini ni kuwa, wachimba madini na wavuvi hawahusiki sana, bali wanachokitaja ni kwamba mifupa hiyo inatakiwa sana na matajiri wakubwa," Mkuu huyo wa wilaya alisema. Alisema katika tukio la Shilela wilayani Kahama, wakati wa zoezi la kuwatambua lililofanywa katika kijiji hicho, mama mzazi wa binti aliyeuawa alimtambua muuaji mmoja na yeye alikiri kuhusika katika mauaji hayo.

Wanabodi, Mwenye infoz za Huyu Mfanyabiasha wa IGUNGA tafadhali tuwekeeni hapa... Inaelekea Master-mind wa Mauaji makubwa ya watanzania Yuko igunga...!
 
Mhhhh... ilianza kama uvumi kwamba mauaji ya Albino serikali haiyapi uzito unao staili kwa vile vigogo wanahusika katika mauaji hayo, sasa uvumi waelekea kuwa kweli! Hivi mfanya biashara mwenye uwezo wa kutoa hadi milioni 75 tena kule Igunga do I need to say more??? Inatisha sana!
 
Inawezekana Igunga kuna matajiri zaidi ya RA who knows ila watu wa huko watupe nyeti .
 
Hawa watu ni wajinga sana.Hivi mfupa wa albino una tofauti gani na mfupa wa binadamu mwingine?Hao maalbino hawana melanin kwenye ngozi zao au macho kwa sababu wana genetic defect ya tyrosinase enzyme ambayo ndiyo inatengeneza hiyo pigment lakini components za mifupa yao ni sawa na za mwingine yeyote.
Wapumbavu sana hawa watu.
 
Oh lalalaaa!

Tuvumilie tusikie kama Magesa atakuwa brave enough kutaja majina ya wahusika ama tutangoja wafikishwe mahakamani? Au kwa kuwa ni mfanya biashara mkubwa sana basi lazima upelelezi ukamilike kabla ya kukamatwa kwake for the National Security ?
 
Please
Dawa ni kuban hizi filam za ki nigeria, Hamna lolote katika kuongeza utajiri
Kama mmedhamiria kumchafua katika kila sehemu sawa

Mimi na wewe hatuwezi ila CCM wenzake kama ni kumachafu ndiyo viongozi na kazi hii ya kumchafua na hasa kwa kuwa yeye ni mchafuzi wa wenzake ila hatumii sauti yake .
 
Duh aibu sana ujinga gani huu , yah itabidi wawekwe hadharani tu haina jinsi .

Na notion ya kwamba hii kitu ime/inachelewa kuwekwa wazi wahusika ni kwa sababu wana influence kubwa ni ya kweli.
Haya sasa ngoma inaanzia igunga na nashangaa kuna mtu anaongelea kuchafuana yani mtu akubali ameua ili ashiriki kumchafua mtu maana hiyo chain ya kutaja kufika mpaka igunga inatoka kwa wauwaji,so do the math buddy.
Ok tusubiri watatutajia hakuna haja ya kupiga ramli kuwa mfanyabishara mhuhusika igunga ni nani, kama tulivyo na moyo wa kusubiri kujua waziri kijana ni nani na siku saba zitafika au kwani mmesahau wa ndugu hili tayari ahaaaaaaaaa.
 
kwa upande wangu hii habari imekaa kiudaku udaku zaidi kuliko ukweli wenyewe,ngoja tuwape muda.siku zote mwongo mpeleke mpaka mlangoni.kwa njisi viongozi wetu wanavyopenda sifa hizi taarifa zingetolewa na waziri au igp
 
Back
Top Bottom