Mauaji ya Jenerali Soleimani: Marekani yaanza kupata Washirika, Uingereza yasema ipo ukurasa mmoja na Marekani

Pale wanaojiita Simba wanapoungana kumshambulia yule wanayemuita paka. Yani wale wanaojiita mabaunsa wanapoungana kumshambulia jamaa mmoja wanayemuita mchovu.
Funny.....
Ndo inakauaga hivo...we hujaona wakoloni walishirikiana kuitawala Africa?
 
Ushirika wa wachawi tayari...Iran isilipize kisasi kwa sasa iache waishi kwa hofu na uoga ni adhabu tosha pia...
 
Mbona veto mbili kuvamiwa kwa iraq lakini marekani kichwa ngumu akavamia tu
Nato wao ni katika kupeleka jeshi,hadi wakubaliane wote.Nadhani pia UN Security Council ambapo kuna memba watano yaani USA,UK,France,China na Russia hao ndo huamua nchi ivamiwe ama la.Mmoja akiweka Veto yake basi haivamiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakiungana wata mpiga pasipo kupungukiwa na nguvu kama vile amna kilicho tokea[emoji23][emoji23][emoji23]maana wote wana nguvu..ulitaka ashiriki mmoja ili nguvu ipungue kidgo
Pale wanaojiita Simba wanapoungana kumshambulia yule wanayemuita paka. Yani wale wanaojiita mabaunsa wanapoungana kumshambulia jamaa mmoja wanayemuita mchovu.
Funny.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume waza ujinga...kwani yule bwana wa 2015 alivyo shinda ali shangiliwa na TZ yte au na wenye mahaba na mboga za majani
Sasa mbona huyo walliemuua kazikwa kishujaa na wananchi wa Iraq mkuu ina maana Marekani anajua zaidi nini wairaq wanataka kuliko wairaq wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kumuweza Mmarekani akikufuata kukupigia nchini mwako wee usihangaike nae wee mpige nchini mwake. Uwa kabisa raia wake. Mmarekani mwoga sana kwa raia wake. Ndicho N.Korea alichomwambia, mi ukianza tu kunipiga sipigani na wewe hapa, ntakuwa natuma makumbora kuuwa raia wako. Ndipo hapo mmarekani anaponyweyaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran hana ubavu wa kuthubutu kuchokoza mziki wa America.. Marekani ameshasema aguse maslahi yake au base yake yoyote aitakayo alafu wao watajibu kwa haraka na kwa nguvu ambayo haijawahi kuonekana popote pale duniani kwahiyo Iran iache singeli inatakiwa ijibu kama mwanamme kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya hujasikia chochote kile?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki Usimueke Kwenye NATO kiviile Maana Hata Hao NATO wenyewe Wanamtenga Mpaka Sasa Hv Yupo Karb Mnoo Na RUSSIA
mturuki kwa sasa haaminiki..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…