Mauaji ya Jenerali Soleimani: Marekani yaanza kupata Washirika, Uingereza yasema ipo ukurasa mmoja na Marekani

Mauaji ya Jenerali Soleimani: Marekani yaanza kupata Washirika, Uingereza yasema ipo ukurasa mmoja na Marekani

Iran hana ubavu wa kuthubutu kuchokoza mziki wa America.. Marekani ameshasema aguse maslahi yake au base yake yoyote aitakayo alafu wao watajibu kwa haraka na kwa nguvu ambayo haijawahi kuonekana popote pale duniani kwahiyo Iran iache singeli inatakiwa ijibu kama mwanamme kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
kishanuka sasa subir tuone mengne
 
Iran ni magaidi inapaswa yapigwe kila kona duniani
wewe unasib itisha Irani ni gaidi umetumia vigezo vipi!Na kama Usa sio gaidi anafuata nini nchi za watu na usa akitimba kwako kukupa msaada wa kijeshi basi tambua ndio anakuongezea majanga icheki Iraq Libya NK.nchi zimechoka kama mbwa alielambwa na chatu
 
Back
Top Bottom