Mauaji ya kimafia huko Kenya

That's a crime... It isn't legalized in our country.....And such kind of cases occur throughout Africa.... Or hasn't Kenya experienced such kind of cases?
Tanzania albino murders: 'More than 200 witchdoctors' arrested
 
Maisha, tunazo speeches za baba wa taifa husikilizwa, tuna strong institutions, very mixed cultures and religions.
We will be your role models.
Sent using Jamii Forums mobile app
Istitution zipi hizo 'strong' nchini Tz wakati mihimili yote haipo huru? Unamaanisha mahakama za kungoja maagizo kutoka juu, bunge la kuimba chorus ya ndiooo ama policcm? Labda muwe role models wetu kwenye kuimbia mapambio ya kumsifia mfalme na kukung'utwa kama mbwa koko. [emoji1][emoji1][emoji1]
 
 
Vipi kuhusu CJ Mariga anavyolalamika kwamba serikali inaingilia Uhuru wa mahakama?. Unakumbuka baada ya mahakama kutenguo matokeo ya uchaguzi, Uhuru Kenyatta alivyomtukana na kumtishia CJ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu CJ Mariga anavyolalamika kwamba serikali inaingilia Uhuru wa mahakama?. Unakumbuka baada ya mahakama kutenguo matokeo ya uchaguzi, Uhuru Kenyatta alivyomtukana na kumtishia CJ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu hilo? Hilo si ndio jukumu na wajibu wa CJ? Kudumisha heshima ya mahakama na kuwakumbusha wananchi na wanasiasa pia, akiwemo rais, kuhusu mipaka yao kisheria? Tena hasira hizo za rais UK zilikuwa kupitia tamko kama mgombea urais kwenye kampeni na sio kama rais. Hivi Tz mna CJ kweli au mna kada tu ambaye aliteuliwa na mzee kwasababu anayo kadi ya uanachama wa sisiemu?
 
Hahahaha, wewe ni pimbi kweli, rais aliyeko madarakani ambaye hajakabidhi madaraka anamtukana na kumtishia CJ huku akiidhalilisha mahakama unasema ni mgombea sio rais, kweli wakenya hamna akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mliona umafia aliofanyiwa Mbowe kule jimboni Hai.....
 
Hahahaha, wewe ni pimbi kweli, rais aliyeko madarakani ambaye hajakabidhi madaraka anamtukana na kumtishia CJ huku akiidhalilisha mahakama unasema ni mgombea sio rais, kweli wakenya hamna akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa kwamba nyinyi ni wale wale ambao huwa mnavalia rangi za sisiemu hadi kwenye hafla za kitaifa. Kwahivyo hutanielewa, labda nikuchoree kibonzo. 😀 Acha nitumie video kwa leo. Hii ndio siku ambayo rais UK alimwaga povu na kuwaita majaji wakora, baada ya wao kumpokonya kipisi cha 'nyam chom', ambacho kilikuwa tayari kipo mdomoni. Hii inafanana na hafla yeyote ya kitaifa na rangi zote hizo za chama cha Jubilee hapo jukwaani? Tamko la Uhuru nalo lilikuwa rasmi na la kirais? Sijui kuhusu Tz, ila katiba ya Kenya inajieleza wazi kabisa kuhusu majukumu ya rais na serikali pia wakati wa 'transition period' ya kampeni za uchaguzi mkuu.
 
Pole usilie basi. Hii itakuwa imekugusa pahali.
Definately, haha! 😀 Umeona alivyohepa swali langu kuhusu CJ wao? Hivi anaitwaje huyo Jaji Mkuu wa Tz, na amefanya lipi la maana ili tumjue na tumkumbuke? Usije ukapata ni yule jamaa wa mapepe, Kingwedu. [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…