DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za Ulaya zlipita kipindi kigumu lakini huko hoja yao ilikuwa ni ya kisiasa zaidi i.e. kuwanyamazisha wapinzani kwa kuwaua na hakuna vilivyokuwa mali zilizokuwa zinachukuliwa (kama ilikuwepo ni kidogo), uporaji wa ardhi au mali za Jamii fulani. Hapakuwa na Taifa kutoka nje lililoingia kwa uwazi kuunga mkono yaliyokuwa yakitokea.Nchi za Ulaya zilipitia kipindi kigumu sana cha vita za wao kwa wao, waasi, madikteta, mapinduzi mpaka leo wengi wao wako imara na wanalinda nchi zao yasijirudie yaliyopita.
Au ni lazima nchi zipate hizo tabu ndio ziwe imara na zenye maendeleo, si ajabu Congo ikaja kua kama ulaya 😂😂
Wanaficha aibu ndogondogo zinazozuilika kiwepesi 😂😂, mshindi ndio huratibu historia yote hata kama huko nyuma uliwahi kumtwanga ushindi wake ndio utakua maarufu.Uingereza hii ya malkia ilipitia kichapo cha Hitler sema tu ndio hivyo historia kubwa zinaandikwa na wao pamoja na wale wanahistoria wasiokuwa neutral🤣
Kwasababu babu zao waliipambania, sisi tumechelewa sana kujitambua mpaka kutawaliwa. Nchi imejikusanya kwa uzuri baada ya ukoloni.Ni wazalendo haswa . Popote wawapo duniani wana feel ile pride ya utaifa wao
Ni kweli kabisa. Halafu inashangaza waliopo madarakani wanasahau kwamba hapa duniani hawataishi milele - iko siku watake wasitake watayaacha madaraka yao aidha kwa kifo cha kawaida au kuuliwa au kutokana na uzee. Wanajilimbikizia mali za damu na umwamba wa siku chache.Kuna muda watawala wanagubikwa na kitu kinaitwa inferiority complex inawapelekea kugeuka wauaji...kisa tuu hawataki kupingwa..na mtawala ikimuingia hii akili ya kukataa kupingwa walai watu watateseka sana...ni kuombea tuu huyo kiongozi afe..tumshukuru Mungu tunaishi zama ambazo kuna utandawazi taarifa zinafika kwa wakati..kuna taasisi za kutetea haki za binadamu..mashirika ya kimataifa n.k..otherwise I feel sorry...very sorry kwa walioishi miaka hyo kabla ya world war 2..walipitia mateso makali...hasa kwa nchi za ukomunist..
Japo kuna majirani zetu na sehemu zingine za Africa yani wao ndo wameona fasheni sasa kupigana na kuuana..kujimilikisha mimali huku wananchi wao wana umaskini wa kutupwa...
View attachment 3250842
Picha inasikitisha sana hii ya watoto...hawana makosa
Huenda wakongo wakajifunza uzalendo kupitia hayo machafuko, akipatikana kiongozi awaunganishe hata kwa mkono wa chuma.Nchi za Ulaya zlipita kipindi kigumu lakini huko hoja yao ilikuwa ni ya kisiasa zaidi i.e. kuwanyamazisha wapinzani kwa kuwaua na hakuna vilivyokuwa mali zilizokuwa zinachukuliwa (kama ilikuwepo ni kidogo), uporaji wa ardhi au mali za Jamii fulani. Hapakuwa na Taifa kutoka nje lililoingia kwa uwazi kuunga mkono yaliyokuwa yakitokea.
Lakini huko Congo DRC hoja ni pamoja na Ukabila, Utawala, Uchukuaji wa madini (Rasilmali ), watu raia kuuawa na utekaji /uporaji wa maeneo makubwa ya nchi. Halafu kuna Taifa la nje limejiingiza kwa uwazi kuunga mkono wapinzani wa Serikali ikiwa ni pamoja na kutoa misaada ya kijeshi kwa wapinzani.
Ukiangalia hizo scenario mbili utaona ni tofauti kabisa. Kwa hiyo Congo haiwezi ikaja kuwa kama Ulaya bali Congo DRC itasambaratika , itamegeka kuwa ni nchi 2 au 3 na bado kutakuwa na mwendelezo wa mauaji ya kuvizia ya kikabila Watutsi vs Wahutu.
Chuki ya Kikabila (Ukabila) ni MBAYA sana tena pale inapokuwa ni chuki ya kulipiza kisasi kwa mtindo wa kuuana. watu wa Kabila fulani wanaua watu wenzao wa kabila lingine tofauti na wanajisikia kujivunia jambo hilo.Huenda wakongo wakajifunza uzalendo kupitia hayo machafuko, akipatikana kiongozi awaunganishe hata kwa mkono wa chuma.
Wachanganye damu kama hapa bongo, mchaga kaoa/kuolewa na mnyakyusa na mtoto wao kaoa/kuolewa na mngoni na mjukuu kaenda kulowea Tanga kaoa/kuolewa na mbondei.Chuki ya Kikabila (Ukabila) ni MBAYA sana tena pale inapokuwa ni chuki ya kulipiza kisasi kwa mtindo wa kuuana. watu wa Kabila fulani wanaua watu wenzao wa kabila lingine tofauti na wanajisikia kujivunia jambo hilo.
Hiyo ni laana; haitokaa iishe. Wanasema inadumu hadi kizazi cha NNE.
Excellent. Hiyo njia ndo Mujarab sana. e.g Wamasai huku Kiteto wameoa Warangi na Wagogo; japokuwa mwanamke wa Kimasai pure kuolewa na kabila lingine kuna changamoto zake. Sasa Wamasai wanaitana na Warangi ni Watani (waliwahi kupigana vita) tena ni mashemeji Ke waKirangi wameolewa Umasaini. Hapo sio rahisi tena Mmasai amuue Mtani wake na Shemeji yake. Ugomvi ukitokea baina yao (Mrangi vs Mmasai au Mgogo vs Mmasai) huwa unamalizwa na wazee kirahisi sana.Wachanganye damu kama hapa bongo, mchaga kaoa/kuolewa na mnyakyusa na mtoto wao kaoa/kuolewa na mngoni na mjukuu kaenda kulowea Tanga kaoa/kuolewa na mbondei.
Huko hizi mambo hakuna, kwamba mhutu hawezi kuoa mtutsi??
Kwenye ukabila kidogo na sisi tumejitahidi.Excellent. Hiyo njia ndo Mujarab sana. e.g Wamasai huku Kiteto wameoa Warangi na Wagogo; japokuwa mwanamke wa Kimasai pure kuolewa na kabila lingine kuna changamoto zake. Sasa Wamasai wanaitana na Warangi ni Watani (waliwahi kupigana vita) tena ni mashemeji Ke waKirangi wameolewa Umasaini. Hapo sio rahisi tena Mmasai amuue Mtani wake na Shemeji yake. Ugomvi ukitokea baina yao (Mrangi vs Mmasai au Mgogo vs Mmasai) huwa unamalizwa na wazee kirahisi sana.
Umewaza mbali sana mkuu.
Asante kwa Mwaliko.
Inashangaza sana...tumepungukiwa maarifa...Ni kweli kabisa. Halafu inashangaza waliopo madarakani wanasahau kwamba hapa duniani hawataishi milele - iko siku watake wasitake watayaacha madaraka yao aidha kwa kifo cha kawaida au kuuliwa au kutokana na uzee. Wanajilimbikizia mali za damu na umwamba wa siku chache.
🤣🤣 kabisa. Nikipata wasaha nitaleta kisa chake hapa. Alichapika yeye na beshte yake mfaransa kichapo kitakatifu.Wanaficha aibu ndogondogo zinazozuilika kiwepesi 😂😂, mshindi ndio huratibu historia yote hata kama huko nyuma uliwahi kumtwanga ushindi wake ndio utakua maarufu.
Karibu sana. Haki ni natural basic need kwa kila kiumbe haswa mwanadamu. Ukimnyima mtu haki yake ndio hapo anapoitafuta in a hard way hapo ndipo yanaibuka machafuko katika jamii. Historia haidanganyiAsante kwa Mwaliko.
Binafsi nimesoma hii historia kwa namna mbili darasani na mtandaoni.
Nilipata kujifunza mambo mawili muhimu hasa katika mauaji ya kimbali .
Ukabila - swala la ukabila sio tu linaweza kuigawa nchi ikabaki vipande vipande.
Jambo la pili nilijifunza kuhusu Haki-ukiwanyima haki , utaliza makundi na katika hayo makundi ndo yataibuka makabila , wanachama Kama NETO n.k
Ila kwakuwa Africa ni sikio la kufa bado kuna viongozi wanasiasa ambao wanacheza na haki za raia wao mfano Tanzania miaka ya nyuma iliwahi kupata kiongozi aliyekuwa anaubiri Amani Ila anaogopa kuhubiri haki.
Ni vizuri tukawa watu wa kujifunza kutokana na makosa🤣🤣 kabisa. Nikipata wasaha nitaleta kisa chake hapa. Alichapika yeye na beshte yake mfaransa kichapo kitakatifu.
Karibu sana. Haki ni natural basic need kwa kila kiumbe haswa mwanadamu. Ukimnyima mtu haki yake ndio hapo anapoitafuta in a hard way hapo ndipo yanaibuka machafuko katika jamii. Historia haidanganyi