Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

Uislamu sijui ni kwanini unaamini sana ktk umwagaji damu! Udini! Vita! chuki! uhasama!
Huwa naitafakari sana hii dini!
 
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!View attachment 3269215
Mohamed alsharaa jawlan(Golan) mzaliwa wa milima ya Golan ni jasusi wa israel na USA, alikua isis mwanzo,akaunda kundi lake,so anachofanya wakubwa hawawezi mlaumu,vumilia tu,ulifurahia kukomeshwa njia ya hizbullah kupitisha silaha
 
Uislamu sijui ni kwanini unaamini sana ktk umwagaji damu! Udini! Vita! chuki! uhasama!
Huwa naitafakari sana hii dini!
Hapo uislam uko wapi?..huko palikua pametulia kabla ya george bush na tony blair kuizulia uwongo Iraq na kuivamia na kuua wairaq zaidi ya milioni,na bush alitangaza ni vita vya msalaba
 
Kumbe wewe ni mwehu kabisa eti vita vya Msalaba!!!
 
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!View attachment 3269215
Nenda kawaokoe!
 
Ndio mliyataka aya!!! Tukiwaambia IRAN taifa teulle mnabisha na kuleta ulokole wenu!!!

sasa Assad alikuwa anasapotiwa na Iran Wagalagatia wenzenu walikuwa Salama sasa kiongozi mpya anaugwa mkono na ISRAEL!!!!

kazi moja kwasasa mnapigwa kipondo cha taifa teule!!!

ndio mkiambiwa Waisrael na wakristo ni paka na panya awaivi popote!!! Japo mmngekuwa na uwelewa mngewaunga mkono WaIran!!!

Ayatollah japo anashehelekea Xmas lkn nyie mmegandana na Israel aya sasa mchutame tu!!!!! Msitafute pakuegemea!!!!!
Mazuzu hayo!
 
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!View attachment 3269215
sio wanadaiwa bali walishambulia jeshi la serikali huko mji wa kaskazin ya Syria , watu mnapenda kuihadithia stori kwenye namna mnataka mmoja aonekane mbaya , h
hao ni waasi waishambulia kituo cha polisina kuua polisi kadhaa ndio jeshi la serikali likajibu mapigo , wameelemewa wanawatumeni watu wao mje kudanganya umma kuwa ni swala la kidini , wakati sio kwel
 
Syria ilishakuwa failed state. Kila mtu anayetaka kipande Cha Ardhi Anaenda kumega Syria.

Uturuki imeshachukua chake.
Marekani ameshaanzisha kambi kwa Wakurd.
Wadruze wamesharuhusiwa kufanya kazi Israel soon, Israel itaombwa na Wadruze imege kipande Cha Kusini mwa Syria... Na hao Alawites kwa msaada wa Iran na Russia watakuwa na autonomous state.

Anyway kabla ya vita ya kwanza ya Dunia, Ottoman empire ilikuwa inawaruhusu Watu wawe na Uhuru wa kujiamlia mambo yao. Kwa hiyo Washia, Wassuni, Wakristo, Wakurd, Wadruze na Watu wengine Wenye uhasimi walikuwa hawachanganyikani sana.

Waingereza na Wafaransa wawili baada ya Ottoman kuanguka wakaigawa middle east kwenye mipaka iliyopo leo, kiasi kwamba wale Watu Wenye uhasimu/maadui wakawa wawekwa nchi Moja, ili iwe rahisi kuwagombanisha wakitaka.

Mfano Lebanon, Syria, na Levant yote ilikuwa ina Wakristo wengi sana, ila Ufaransa akachukua eneo la Syria lenye Washia wengi sana akahamishia Lebanon akabadili demographics ya Lebanon Hadi Leo.

Middle east kulitakiwa kuwe na nchi hata 100 sababu Washia hawawezi kuishi na Wassuni, hawa wote hawawezi kuishi na Wakurd, Wadruze, Baduini, Yazid...

In short middle east will never know peace
 
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!View attachment 3269215
Middle east ubaguzi na udini unawaharibia sana
 
Back
Top Bottom