Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Kumfuata mwalimu kwa lengo la kuunda muunga si kigezo cha kutouvunja kama makubaliano yatakiukwa!Wapi na wapi?kuna mdau katujuza kuwa muuaji wa Mzee karume alikuwa ni mlipizaji wa kisasi wa kifo cha Baba yake [Hoja hii kama ni kweli Mzee Karume alishurutisha mtoto Mtu kumua Baba yake pasipo hiari yake hata kama ilikuwa ni SIRI KUU hapo ilikuwa ni dhambi ambayo mmalipo yake lazima yangerudi] . Yani wenzetu wanasema <b>what goes around comes around.Hoja ya kulipa kisasi asilmia kubwa ina mashiko kwangu kwa kuwa na utamaduni wa watu wa kimazingira siasa za Zanzibar zimezungukwa na visasi kwa hilo naafiki kuna uwezekano.
Haya mdau Jason wewe unakuja na hoja ya Mwalimu kumua Mzee Karume ambae kwa jukumu alilokuwa nalo tena kwa hiari yake mwenyewe alimfuata Mwalimu ili auende Muungano na si Mwalimu aliyemfuata kuunda Muungano.Hiyo imeakaaje aliayetaka Muungano ndie awe mvunja muungano huo huo?Naomba ufafanuzi ukiziangati hiyo taarifa ya mdau kuhusu ujumbe hapo juu.
Nasikitika sana kwa Great thinker kuwa mwepesi wa kukubali hoja nyepesi ya kisasi kiasi hicho! Dhana ya uraisi ni pana sana ndugu, haihusu mtu mmoja kama ulivyoegemea!
Ninacho kueleza na nitakacho endelea kukueleza ni kuw Nyerere ndie engineer mkuu wa mauaji hayo na mengineyo yenye kuupinga muungano!
Amini kama unavyo amini kuwa yesu atarudi!! Baharia Karume aliuawa chini ya uratibu wa hayati Baba wa Tanganyika JK Nyerere!
Upo ushadi wa wazi ambao utatumika baada ccm kuwa chama cha upinzani 2015