Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama si mungu tu basi Maalimu Seif na Dr. Bilal hatungekuw nao leo!
Wale wanajua kuwa nini kilichomuua Baharia na wanajua nguvu ya kimafia ya Mt Nyerere!
mawazo ya Mtanzania wa kawaida, kwani muungano ulkuwa kati ya Nyerere na Karume au Tanganyka na Z'bar, by the way sio kosa lako tatzo unasoma sana gazeti la an-nuur ndio huwa wanahzo views.
Inasemekana mzee Karume alipouwawa alikua na $ 20 milioni nchi za nje ? hizo ni fedha nyingi sana 1972 ukichukulia wakati huo wazanzibari walikua wanasota sana kimaisha
wakati wa mzee Karume wanzanzibari hawakusota kimaisha,mzee karume alikuwa akiwaeleza wazanzibar kiasi gani wanacho katika mikutano yake mingi
Tujuze sababu za Mwalimu kufanya hayo manake umemvisha kitanzi bila kumungunya maneno kuwa ndio muhusika.Tusaidie.
Walisota sana mkuu, walikua wanavaishwa vitenge nchi nzima kama uniform, hata chakula ilikuwa taabu.waliokuwa wanafaidi ni watu waliokua karibu nae viongozi wa Afro-Shirazi
Acheni kutafuna maneno! Aliyemuua Karume ni JULIUS K NYERERE rais wa kwanza wa Tanganyika na chama chake cha TANU-CCM!
Si huyo tu ambaye kauawa na serikali ya ccm, orodha ni ndefu sana.
Tunasubiri 2015 watakapokuwa chama cha upinzani ndipo tutafungua kesi za mauaji hayo maana ushahidi upoo!!
JKN mbona ameua wengi tu, Mondlane, Samora wale marais wa Rwanda na Burundi pamoja. Hao ni baadhi tu
Wapi na wapi?kuna mdau katujuza kuwa muuaji wa Mzee karume alikuwa ni mlipizaji wa kisasi wa kifo cha Baba yake [Hoja hii kama ni kweli Mzee Karume alishurutisha mtoto Mtu kumua Baba yake pasipo hiari yake hata kama ilikuwa ni SIRI KUU hapo ilikuwa ni dhambi ambayo mmalipo yake lazima yangerudi] . Yani wenzetu wanasema what goes around comes around.Hoja ya kulipa kisasi asilmia kubwa ina mashiko kwangu kwa kuwa na utamaduni wa watu wa kimazingira siasa za Zanzibar zimezungukwa na visasi kwa hilo naafiki kuna uwezekano.
Haya mdau Jason wewe unakuja na hoja ya Mwalimu kumua Mzee Karume ambae kwa jukumu alilokuwa nalo tena kwa hiari yake mwenyewe alimfuata Mwalimu ili auende Muungano na si Mwalimu aliyemfuata kuunda Muungano.Hiyo imeakaaje aliayetaka Muungano ndie awe mvunja muungano huo huo?Naomba ufafanuzi ukiziangati hiyo taarifa ya mdau kuhusu ujumbe hapo juu.
Acheni kutafuna maneno! Aliyemuua Karume ni JULIUS K NYERERE rais wa kwanza wa Tanganyika na chama chake cha TANU-CCM!
Si huyo tu ambaye kauawa na serikali ya ccm, orodha ni ndefu sana.
Tunasubiri 2015 watakapokuwa chama cha upinzani ndipo tutafungua kesi za mauaji hayo maana ushahidi upoo!!
unataka kusema aliewai kuwa mkuu magogoni ndo anahusika na mchezo wotekwa ufahamu wangu nakumbuka wakati ule nikijana mdogo mwenye akili yangu timamu tulikuwa tunangalia kesi ya marehemu karume kupitia TVZ ,kulikuwa na Mtu ambae huwa hatajwi jina isipokuwa hutajwa kama MR X
Pili tujiulize kwa nini mzee karume mpaka nakata mauti alikuwa hazungumzi na Kambarage (kamnunia )
Tatu ni nani alisababisha kifo cha Khanga
Nne ni nani aliyeamrisha kupelekwa zanzibar Bititi na kufanyiwa machafu na mateso ambayo sitoweza au hayastahiki kuandikwa hapa
Mama karume anasema ni kambarage peke yake aliwahi kumfariji lakini basi tusisahau panya akutafunapo(kungaka) huwa anakupuliza usipate maumivu
Lamwisho nataka kuchangi kuhusu wanajeshi walipotaka kumpa urais seif Bakari Kambarage akasema haitowezekana kufanya hivyo na akatowa sababu zake na ndipo wanajeshi wakakubaliana nae kwa ushauri huo
sasa ukiangalia Director wa mchezo wote anaeleweka na wla huhitaji (Brain surgery)kulijuwa hilo (kuelewa ) ni nani alikuwa Behind all this
Hivi ni nani aliye copy kutoka kwa mwenzake kati yako na Jason Bourne