Kwani hua anahutubia au anaropokaga tu?Hatuna rais hapo mzee, rais unaenda kuhutubia mamilioni ya wananchi wako unashindwa kujipanga kweli?
Mipasho ya kimwambao kwenye mambo nyeti na serious ya kitaifaKwani hua anahutubia au anaropokaga tu?
Hapo hapo kwenye maridhiano, hivi akili imo?Hatari ya elimu ya hapa na paleAnajiita rais, lakini hajui anakwenda wapi! Alianza kwa kusema fujo ni watu wa nchi jirani. Sasa anadai walilipwa. Yaani anatoa majawabu anayotaka kusikia. Pembeni kuna usanii wa Commonwealth na hadithi ya maridhiano.
Yaonekana hakuna niya ya kueleza wauaji ni akina nani. Kuna kundi limetenda yasiyotakiwa.
Wameuwa wa-TZ wenzetu.