Mauaji yaliyosababishwa na vurugu za uchaguzi Kenya

Hawa majirani zetu wanahasira za karibu sana na wamekosa uvumilivu, tuendelee kuwaombea hali isizidi kuwa mbaya na uchaguzi uishe salama..
 
Kimenuka
Hayo Mambo hutokea nchi nyingi linapofika suala la uchaguzi Mara nyingi wapinzani hawaamini Kama wameshindwa kwa uhalali na matokeo yake usingizia wameibiwa kura odinga watulize hao wafuasi wako rais Kenya ameshatangazwa.
 
Kama unajipenda kaa nyumbani ungoje matangazo ya urais kwa amani, hawa jamaa wanajifanya yakua hawawajui polisi wetu
 
Acha uchochezi na waache wafu wazike wafu wao
 
Hizi sio pic

Hizi sio picha Serikali yao imesema ni za matukio ya nyuma bali zinasambawa kupotosha na kuwatia watu hofu?


Hakuna serikali inayokubali kuwa imeua watu.

Usijidanganye kwa kuisikiliza serikali na wakati, hadi sasa hivi polisi imeisha piga watu shaba/ bomba .

Uhuru Kenyatta ni thief. Once a thief always, a thief
 
Acheni ukabila then your independent electoral body can make sense. Otherwise you will continue blaming Kenyatta for the obvious - wajaluo hamjui hesabu, 2+1=3 (kalenjini+Others +kikuyu) while 2-1=1(luo+unpredictable luhya-kalenjini) Ache I
 
RO Akubali ameshindwa, kama hana kazi ya kufanya aje Tanzania tumpe miradi ya chattor aisimamie..
 
Hizo picha tatu za chini ni morogoro hapo cio kenya mkuu ndio tukio la moto limetokea jn km unapafaham kwa watengeneza masofa big brothers
 
Acheni ukabila then your independent electoral body can make sense. Otherwise you will continue blaming Kenyatta for the obvious - wajaluo hamjui hesabu, 2+1=3 (kalenjini+Others +kikuyu) while 2-1=1(luo+unpredictable luhya-kalenjini)
Ache I


Uhuru ni kibanga. Alifunzwa hizo wizi wa chapa na dooo na dady yake.
So, sasa anaiba votes za Odinga.
 
Unaenda kufanya political meditation gani wakati umeshaonesha biasness?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…