Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,151
- 1,321
Hawa majirani zetu wanahasira za karibu sana na wamekosa uvumilivu, tuendelee kuwaombea hali isizidi kuwa mbaya na uchaguzi uishe salama..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi sio picha Serikali yao imesema ni za matukio ya nyuma bali zinasambawa kupotosha na kuwatia watu hofu?Kufuatia uchaguzi nchini Kenya watu wameuawa na askari eneo la madhare nje kidogo ya Jiji la Nairobi ambao ni wafuasi wa NASA . Matukio haya hayaonyeshwi na vyombo vya habari vya Kenya.
View attachment 562152
View attachment 562147
View attachment 562148
View attachment 562149
View attachment 562150
Selfish and dishonest leaders like Odinga na NASA pia wao will turn Kenya into a blood fest.Hoa IEBC bila kuwa honest they will turn Kenya into a blood barth.
Kama unajipenda kaa nyumbani ungoje matangazo ya urais kwa amani, hawa jamaa wanajifanya yakua hawawajui polisi wetuNimeandaa mahitaji yote tayari kwa diplomatic mediation huko Kenya , acha kwanza watwangane.
Uhuru kesha kunywa damu ya Mr. Msando - ICT wa IEBC sasa anataka kunywa za wakenya wote.
Uhuru Kenyatta is a thief while, a common knowledge is "Once a thief , always a thief"
Acha uchochezi na waache wafu wazike wafu waoNimeandaa mahitaji yote tayari kwa diplomatic mediation huko Kenya , acha kwanza watwangane.
Uhuru kesha kunywa damu ya Mr. Msando - ICT wa IEBC sasa anataka kunywa za wakenya wote.
Uhuru Kenyatta is a thief while, a common knowledge is "Once a thief , always a thief"
Hizi sio pic
Hizi sio picha Serikali yao imesema ni za matukio ya nyuma bali zinasambawa kupotosha na kuwatia watu hofu?
Acha uchochezi na waache wafu wazike wafu wao
Ache INimeandaa mahitaji yote tayari kwa diplomatic mediation huko Kenya , acha kwanza watwangane.
Uhuru kesha kunywa damu ya Mr. Msando - ICT wa IEBC sasa anataka kunywa za wakenya wote.
Uhuru Kenyatta is a thief while, a common knowledge is "Once a thief , always a thief"
Acheni ukabila then your independent electoral body can make sense. Otherwise you will continue blaming Kenyatta for the obvious - wajaluo hamjui hesabu, 2+1=3 (kalenjini+Others +kikuyu) while 2-1=1(luo+unpredictable luhya-kalenjini)
Ache I
Unaenda kufanya political meditation gani wakati umeshaonesha biasness?Nimeandaa mahitaji yote tayari kwa diplomatic mediation huko Kenya , acha kwanza watwangane.
Uhuru kesha kunywa damu ya Mr. Msando - ICT wa IEBC sasa anataka kunywa za wakenya wote.
Uhuru Kenyatta is a thief while, a common knowledge is "Once a thief , always a thief"
.??RO Akubali ameshindwa, kama hana kazi ya kufanya aje Tanzania tumpe miradi ya chattor aisimamie..
Unaelewa ulichoandika?Vimeripoti bana si watu wawili hata ITV wamerusha!
Ndio!Citizen wameripoti hata kwenye website yapo ipo!
Ndio!Citizen wameripoti hata kwenye website yao ipo!