Mauaji yaliyotokea Lemax Bar Sinza kwa Remmy yalikuwa yanaweza kuzuilika mapema

Mauaji yaliyotokea Lemax Bar Sinza kwa Remmy yalikuwa yanaweza kuzuilika mapema

Hata kijana aliyeuliwa alikuwa na kosa. Yaani mtu anafyatua risasi halafu wewe unamfuata!!!!! Sijui ndiyo kifo kilikuwa kinamuita. Yaani walevi noma sana!!! Kwanini hawakuondoka wote wamwache peke yake? Hata kuita polisi mapema kabisa kabla hajaua ingewezekana. Kufuatana na mashuhuda huyo mtu alienda mapema tu na mauaji kayafanya jioni au mchana!!! kweli mkuu yangeweza kudhibitiwa mapema!!!!! Halafu mtu mwenyewe wanamjua anafanyaga fujo siku zote!!!!!
Aksante kwa kunielewa ....
 
TISS aliyekimbia atafutwe na anyongwe.
Huyu nae alikuwa na uwezo wa kuzuia hili jambo mapema tu, pale alipomwambia marehemu aache kutoa bastola yake na akatii amri na kuomba msamahaa hapo ndio ulikuwa wakati muafaka wa kumuweka marehemu chini ya ulinzi mkali ili kuokoa maisha yake ...
 
Yani wanaume wa Dar hasara sana... mwanaume kanywa bia za laki sita alafu mkewe anakuja kulipa hiyo akili kweli , mashoga Dar wengi sana kwa sababu ya kupenda mteremko wajinga sana .....
Mkewe ingetakiwa amu report anyang'anywe hyo bastola maana alikuwa anajulikana tabia yake ya ukorofi. Ona Sasa kaacha familia yatima na sisi wanawake ujasiri wa kuwa na wagonjwa wa akili huwa tunautoa wapi aisee
 
Hamna kitu hapa ume andika kwa lawama tu..tena wewe ndo ungekimbia zaidi ya mbio za harmorapa
 
huyu nae alikuwa na uwezo wa kuzuia hili jambo mapema tu, pale alipomwambia marehemu aache kutoa bastola yake na akatii amri na kuomba msamahaa hapo ndio ulikuwa wakati muafaka wa kumuweka marehemu chini ya ulinzi mkali ili kuokoa maisha yake ...
Unasema ukweli kabisa
 
Watu wanamna hii maiti zao wasipewe ndugu, ichukuliwe wapelekewe fisi wakale msosi au ziuzwe tu india watu wakafanyie practical shuleni, pili wafilisiwe mali zao ili marehemu wahanga wa tukio angalau wapate pa kuanzia.

Hii itakuwa funzo kwa wajinga wajinga wengine na wapumbavu wenye kupenda sifa za kifala fala..
 
Umeandika nini sasa? Yani hapa unakuja na nadharia za kiduanzi kweli. Hivi ni sheria gani inasema mtu akija kwenye bar yako akiwa ameshalewa usimuuzie pombe?

Sheria inakataza usiuze kwa underage tu. Hata haikatazi kunywa kupita kiasi, kuambiwa usinywe kupita kiasi ni unatahadharishwa tu wala sio katazo.
Wewe kiumbe sijui kama ni mzima kiakili unathubutu kusema kuwa " kuambiwa usinywe kupita kiasi ni unatahadharishwa tu wala sio katazo" nikuulize swali kuna tofauti gani kati ya neno " kunywa kupita kiasi " na usinywe kupita kiasi" naomba nijibu ili nijue uwezo wako wa kufikiri... usikute nabishana na msukule
 
Aksante siyo neno la Kiswahili wewe Magdalena jifunze kuandika pia punguza mwili wako uendane na akili.
Jenga hoja wewe mseng baridi , kunywa pombe za bure alafu kamwambie mkeo aje alipe soon utavalishwa dera na kupewa kifir takatifu
 
Jenga hoja wewe mseng baridi , kunywa pombe za bure alafu kamwambie mkeo aje alipe soon utavalishwa dera na kupewa kifir takatifu
Kuna umbile katika mwili linakudanganya sana wewe Magdalena, kuwa na kitovu kikubwa si kwamba ni uume. Mama yako alikukata kitovu vibaya na ukapata kitu kirefu tumboni kama uume, hicho kitu kinakupa kiburi na kukaa karibu na wanaume mimi nitakuingilia hivyohivyo bila kujali una jinsia mbili

Endelea kutikisa puru lako
 
wewe kiumbe sijui kama ni mzima kiakili unathubutu kusema kuwa " kuambiwa usinywe kupita kiasi ni unatahadharishwa tu wala sio katazo" nikuulize swali kuna tofauti gani kati ya neno " kunywa kupita kiasi " na usinywe kupita kiasi" naomba nijibu ili nijue uwezo wako wa kufikiri... usikute nabishana na msukule
"Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako" Je hilo ni katazo au ni tahadhari (alert)?

"Hairuhusiwi kuuzwa kwa wenyw umri chini ya miaka 18" Je hilo ni katazo au ni tahadhari (alert)?


Jitafakari wewe kilaza.
 
Mimi nimekuelewa mkuu, hata mi niliwaza kama wewe kua kwanini wale watu pale hawakutoa taarifa mapema.

Ila kuna mahali pia nilisoma kua jamaa hiyo ilikua tabia yake na alishashtakiwa na watu kadhaaa kwa kadhia hiyo lakini hakuchukuliwa hatua wala hakuacha.

Na tatizo kubwa linaweza kua ni uhusiano wetu raia na polisi. Mtu anawaza akiwa wa kwanza kutoa taarifa ataswagawa akatoe ushahidi, ama lah jamaa akikamatwa soon ataachiwa na wewe mtoa taarifa utasakwa.

Hii kitu sometimes inaleta shida sana uraiani kutoa taarifa mapema, polisi na raia hawana urafiki, raia wanaogopa polisi na polisi wanajimbafy kwa raia.
 
Yani hapa Police walioteuliwa wafanye kitu cha tofauti Police wawe karibu na wananchi kima wasiliano sababu namba zao azieleweki 112 aipokelewi mifumo mibovu ya mawasiliano
 
unachosema ni kweli , tunaweza kupunguza kwa kutoa taarifa au ata kuondoka katika eneo ambalo unaona sio salama , kwenye pombe usimjue mtu hasa akiwa amelewa hata kama ni ndugu yako , tafuta njia awekwe katika mikono salama pombe ikiisha atapata akili basi.....lakini usije mfuata na kusema fulani tulia bwana sio fresh ... mlevi hata kama anapanga anaweza kukucharanga.... be safe .. stay safe
Yea ndio mana tunashauliwa tusinywe kupitiliza, zipo na hasara nyingi sana hizi.
 
Back
Top Bottom