Maulid ambaka mtoto wa miaka 6 hadi kufa akiwa njiani akienda Shuleni

Maulid ambaka mtoto wa miaka 6 hadi kufa akiwa njiani akienda Shuleni

Mende hawanaga huruma mfn juzi apo jengo limeshuka limeua na kujeruhi watu lakini yule mende yeye akaenda kwenye jiitwenti brazil
 
Komenti za wakristo wa humu zinanikumbusha aya ya Quran
وما تخفي صدورهم اكبر
(Chuki walizozificha katika nyoyo zao ni kubwa mno kuliko wanazodhihirisha)

Haiwezekani kwa mtu mwenye akili aanze ahusianishe tukio hilo na uislamu na kuanza kejeli.

Jina la kiislamu halimaanishi mtu ni muislamu, waarabu wengi tu sio waislamu.

Wakati huo huo uislamu upo wazi unakataza kuikaribia zinaa, vipi kuhusu kubaka ndio usiseme.


Halafu hata ushenzi uliopelekwa Zanzibar umepelekwa kimkakati na makafiri waabudu masanamu wa bara pamoja na watalii wa kigeni


Acheni kujificha, nyinyi viongozi wenu wameruhusu mshenyetane kwenye VISAMVU VYENU

Pia nchi zote zinazopigania ushoga ni zile za dini ya msalaba.

ENDELEENI KUSHENYETANA, VIONGOZI WAMEBARIKI
 
Bangi imesingiziwa ingawa Mimi sijawahi kutumia ila usiisingizie haihusiki na hakuna waliposema Maulidi K alivuta bange kabla ya kubaka
Sio lazima kusema mkuu.
Sisi tunajua Mazingira tunayoishi katika jamii zetu.
Vijana wa rika hilo la mtuhumiwa kwa sasa wamechafuka sana kwa mambo hayo. Hawataki kusoma, hawana kazi, vibaka, wanajidunga madawa plus kuvuta bangi na ukute hii bangi inavutwa bila hata shibe.
Matokeo yake ndio km hayo. Hakuna anaeweza kufanya huo unyama akiwa na akili zake timamu mkuu.
Matukio ya ajabu yameongezeka sana nowadays kwa sababu ya matumizi makubwa ya madawa ya kulevya.
R I p kwa mtt Khadija
 

Attachments

  • 212ba9e9341d4cb596752d6d6c1cc942.jpg
    212ba9e9341d4cb596752d6d6c1cc942.jpg
    172.7 KB · Views: 2
Wavaa kobazi wanaongoza kwa ufedhuli huu
Kuna ma-Trolls humu wanahusisha huu uchafu moja kwa moja na Dini. Hivi mnafahamu Marekani ni asilimia 90% Christians na ndio nchi yenye sheria za mafala na inaongoza kwa idadi ya mafala na ndoa zao, watu wanaojibadirisha jinsia kwa operations na madawa ya kukata balehe kwa watoto chini ya miaka 5. Je umesikia watu wakikandamizia hizo tabia chafu juu ya Christians wote badala ya watu binafsi? Au ita make sense nikwambie na wewe ni mmoja wao? Au wewe sio mkristo?

Pathetic idiots. Naandika haya sio sababu najali kuhusu dini, bali sababu ya ujinga wenu uliopitiliza viwango.

Huu ujinga unafanya watu wengine waone huu mtandao hauna maana.
 
Back
Top Bottom