Maulid Kitenge ameigeuza radio ya Wasafi FM kuwa mali yake, ashawishi wenzake kupotezea habari ya Lissu

Uliyoyaandika Sina uhakika kwa sababu sija-prove lakini Kuna kitu nimeki-note kwenye vipindi vya michezo vya wasafi kwa sababu Mimi ni mfuatiliaji wa michezo... Kuna namna flani Maulid Kitenge ana-overpower na kuki-dictate kipindi Cha michezo anavyopenda yeye...
 
Hivi mnasikiliza Redio. Miaka hii.

Mimi niliacha kitambo sana.

Redioni nasikiliza Old Bongo Fleva. Kupitia Sportfy, BoomPlay. Nikichoka nazima.

Habari zote nazipa humu kwenye masocial media.

Hata Tv huna nacheki Gemu tu za mpira baada ya hapo Tv nazima
 
Anakera sana huyu jamaa. Habari ya Tundu Lissu kuuawa kwa msaada wa tiGO ipo very clear halafu yeye anawatshawishi wenzake waache kuirusha hewani. Maana yake nini?
Haha mkuu, Tundu Lisu hajauwawa, bado anaishi na ataendelea kuishi mpaka Mungu mwenyewe atakapoamua.😊
 
Anafanya hivyo kwa maslahi ya Yanga kwa kuwa ni shabiki wa timu hiyo. Lakini pia anawaminya upinzani na kuipaisha CCM kwa sababu amekula hela za mwarabu wa DP World. Huyu jamaa anapenda sana hela. Hata angeitwa na Pdidy ampake mafuta angekubali tu kwa sababu ya fedha. Kwenye upande wa fedha, Kitenge ni zaidi ya changudoa.
 
Hivu hizi redio za wauaji mnaendelea kuzikiliza?
 
Au pdidy kawatuma

Wajue,tunafatilia video Yao wakati bosi wao na meneja wao wakigegedwa kwenye vyumba vya pididy
 
Anakera sana huyu jamaa. Habari ya Tundu Lissu kuuawa kwa msaada wa tiGO ipo very clear halafu yeye anawatshawishi wenzake waache kuirusha hewani. Maana yake nini?
Lissu kauawa?!
 
Lissu kauawa?!
Walipanga kumuua mkuu. Lakini sasa kila kitu kiko wazi. Tigo walihusika kumuwinda Lissu kwa kutoa location yake 24/7 ili wamuue. Wewe huoni lengo lao lilikuwa ni kumuua Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…