Maulid Kitenge ameigeuza radio ya Wasafi FM kuwa mali yake, ashawishi wenzake kupotezea habari ya Lissu

Anakera sana huyu jamaa. Habari ya Tundu Lissu kuuawa kwa msaada wa tiGO ipo very clear halafu yeye anawatshawishi wenzake waache kuirusha hewani. Maana yake nini?
Tundu Lissu kauwawa lini?
Acha kuvuta bangi
 
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu watoto wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.

Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa wahenga. Leo asubuhi wakati wakiwa kwenye kipindi cha Good norning amewashawishi watangazaji wenzake kuacha kuisoma habari ya Lissu kushambuliwa na wasiojulikana kwa msaada wa kampuni ya simu ya tiGO. Habari waliyoacha kuichambua imeandikwa kwenye vichwa vya magazeti yote, likiwemo gazeti la mwananchi.

Sababu alizotoa ni kuwa habari hiyo ni nzito, hivyo haipaswi kwenda hewanj na kwamba inaweza kuwaletea mgogoro. Lakini nimesikiliza redio zote zimeisoma na kuicgambua hiyo habari isipokuwa Kitenge na wachekeshaji wenzake ndio wameiruka hii habari kama ilivyoandikwa na magazeti mbalimbali hapa chini

Sio mara moja Kitenge kutumia uchawa wake kuacha kutangaza habari ambazo zinaigusa moja kwa moja CCM na serikali yake. Sote tunakumbuka jinsi alivyotumia Wasafi FM Radio kuzima na kupotosha suala la DP World. Na wala sio mara ya kwanza Kitenge kulaumiwa na wasikilizaji kupotosha au kulazimisha habari anazozitaka yeye.

Siku za nyuma kuna mdau mmoja alialamika hapa JF kuhusu Kitenge kuitumia Wasafi Radio kama chombo.chake binafsi kupromote mambo ya timu ya Yanga na kuididimiza Simba. Siku za karibuni tumeshuhudia akiitumia Wasafi FM kumtukana mzee Magoma, kwa sababu tu Magoma kafungua kesi halali kuishitaki Yanga. Wala hakuogopa kutumia redio kumtukana mzee Magoma hadharani, hasa ukizingatia bado kesi ipo mahakamani.

MAONI YANGU
Wasafi FM ni chombo cha redio kinachoendeshwa kibiashara. Mmiliki wa chombo hiki asipokuwa makini na kumtuhusu Kitenge kikutumia kama chombo binafsi cha kutangazia mambo anayoyapenda tu, kitapoteza mwelekeo na kupotea katika tasnia ya utoaji habari. Redio itapoteza wasikilizaji na mapato kutokana na matangazo yatapungua. Hapo ndipo chawa Kitenge atakapoanza kuhangaika huku na huku akitafuta kazi kwenye vituo vingine vya redio.

Namshauri mmiliki wa redio hii amuonye Kitenge na wachekeshaji wenzake waache kutumia Wasafi TV kwa manufaa yao binafsi kabla hajavuna mabua.
Mmiliki wa kituo ye mwenyewe ni chawa mkuu wa chama cha kijani so hakuna jipya
 
Kwa zile highlights za kipindi chao ninazoziona huko kwenye account zao za instagram hicho kipindi hakijawahi kunivutia kukisikiliza wala sijawahi kukisikiliza hamna jipya zaidi ya kelele wao wanaona ubunifu ni kelele & unafki mwingi
 
Umewaza ushoga maana ndio kazi zako mjini

Ushapakuliwa unadhani kila mtu ni mwenzio

Dogo uwe na adabu

Unalalamika Media za watu fungua yako useme mazuri ya saccos ya kengeza
Massawe, tunawajua watu kwa tabia zao na mienendo yao. Sasa yako yanamuelekeo huo. After all vijana wengi wa uvccm walio pona mtego huo ni wa kuhesabu
 
You will be fine. You will be fine!
Jikite kusikiliza Redio Maria. Achana na Wasafi.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kuifatilia hiyo redio
Ya wapakwa 🛢

Ova
 
Tatizo mmoja wa mabosi ana msongo wa mawazo kwa sasa baada ya siri yake ya kupakwa baby oil kuvuja hivyo wafanyakazi wanafanya watakavyo.
 
Mi nakerwa na aina ya utangazaji wa wake wa kupayuka kama kinda la ndege mwenye njaa.
 
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.

Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa wahenga. Leo asubuhi wakati wakiwa kwenye kipindi cha Good norning amewashawishi watangazaji wenzake kuacha kuisoma habari ya Lissu kushambuliwa na wasiojulikana kwa msaada wa kampuni ya simu ya tiGO. Habari waliyoacha kuichambua imeandikwa kwenye vichwa vya magazeti yote, likiwemo gazeti la mwananchi.

Sababu alizotoa ni kuwa habari hiyo ni nzito, hivyo haipaswi kwenda hewani na kwamba inaweza kuwaletea mgogoro. Lakini nimesikiliza redio zote zimeisoma na kuichambua hiyo habari isipokuwa Kitenge na wachekeshaji wenzake ndio wameiruka hii habari kama ilivyoandikwa na magazeti mbalimbali hapa chini

Sio mara moja Kitenge kutumia uchawa wake kuacha kutangaza habari ambazo zinaigusa moja kwa moja CCM na serikali yake. Sote tunakumbuka jinsi alivyotumia Wasafi FM Radio kuzima na kupotosha suala la DP World. Na wala sio mara ya kwanza Kitenge kulaumiwa na wasikilizaji kupotosha au kulazimisha habari anazozitaka yeye.

Siku za nyuma kuna mdau mmoja alialamika hapa JF kuhusu Kitenge kuitumia Wasafi Radio kama chombo.chake binafsi kupromote mambo ya timu ya Yanga na kuididimiza Simba. Siku za karibuni tumeshuhudia akiitumia Wasafi FM kumtukana mzee Magoma, kwa sababu tu Magoma kafungua kesi halali kuishitaki Yanga. Wala hakuogopa kutumia redio kumtukana mzee Magoma hadharani, hasa ukizingatia bado kesi ipo mahakamani.

MAONI YANGU
Wasafi FM ni chombo cha redio kinachoendeshwa kibiashara. Mmiliki wa chombo hiki asipokuwa makini na kumtuhusu Kitenge kikutumia kama chombo binafsi cha kutangazia mambo anayoyapenda tu, kitapoteza mwelekeo na kupotea katika tasnia ya utoaji habari. Redio itapoteza wasikilizaji na mapato kutokana na matangazo yatapungua. Hapo ndipo chawa Kitenge atakapoanza kuhangaika huku na huku akitafuta kazi kwenye vituo vingine vya redio.

Namshauri mmiliki wa redio hii amuonye Kitenge na wachekeshaji wenzake waache kutumia Wasafi TV kwa manufaa yao binafsi kabla hajavuna mabua.
Huenda anatumia line ya mtandao wa tiGo.
 
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.

Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa wahenga. Leo asubuhi wakati wakiwa kwenye kipindi cha Good norning amewashawishi watangazaji wenzake kuacha kuisoma habari ya Lissu kushambuliwa na wasiojulikana kwa msaada wa kampuni ya simu ya tiGO. Habari waliyoacha kuichambua imeandikwa kwenye vichwa vya magazeti yote, likiwemo gazeti la mwananchi.

Sababu alizotoa ni kuwa habari hiyo ni nzito, hivyo haipaswi kwenda hewani na kwamba inaweza kuwaletea mgogoro. Lakini nimesikiliza redio zote zimeisoma na kuichambua hiyo habari isipokuwa Kitenge na wachekeshaji wenzake ndio wameiruka hii habari kama ilivyoandikwa na magazeti mbalimbali hapa chini

Sio mara moja Kitenge kutumia uchawa wake kuacha kutangaza habari ambazo zinaigusa moja kwa moja CCM na serikali yake. Sote tunakumbuka jinsi alivyotumia Wasafi FM Radio kuzima na kupotosha suala la DP World. Na wala sio mara ya kwanza Kitenge kulaumiwa na wasikilizaji kupotosha au kulazimisha habari anazozitaka yeye.

Siku za nyuma kuna mdau mmoja alialamika hapa JF kuhusu Kitenge kuitumia Wasafi Radio kama chombo.chake binafsi kupromote mambo ya timu ya Yanga na kuididimiza Simba. Siku za karibuni tumeshuhudia akiitumia Wasafi FM kumtukana mzee Magoma, kwa sababu tu Magoma kafungua kesi halali kuishitaki Yanga. Wala hakuogopa kutumia redio kumtukana mzee Magoma hadharani, hasa ukizingatia bado kesi ipo mahakamani.

MAONI YANGU
Wasafi FM ni chombo cha habari kinachoendeshwa kibiashara. Mmiliki wa chombo hiki asipokuwa makini na kumruhusu Kitenge kikutumia kama chombo binafsi cha kutangazia mambo anayoyapenda tu, kitapoteza mwelekeo na kupotea katika tasnia ya utoaji habari. Redio itapoteza wasikilizaji na mapato kutokana na matangazo yatapungua. Hapo ndipo chawa Kitenge atakapoanza kuhangaika huku na huku akitafuta kazi kwenye vituo vingine vya redio.

Namshauri mmiliki wa redio hii amuonye Kitenge na wachekeshaji wenzake waache kutumia Wasafi FM kwa manufaa yao binafsi kabla hajavuna mabua.​
Tunalifahamu hilo lile kikoi ni debe tupu
 
Ilalamikie TBC inayoendeshwa kwa Kodi yako mkuu.
 
hawa wote ni wale wa chupa za mafuta kwa Didy kwahiyo sishangai, ogopa sana mtu anayelelewa na akina mama.
 
Sema wana mnafurahisha sana dunia hi ya 2024 bado unasikiliza mi redio ya tanzania?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sikumbuki mara ya mwisho kusikiliza media zozote za bongo nyie mnawezaje wakuu???

Mambo ya Lissu na press yake yameripotiwa vzr sana na bbc, voice of America na ile kesi ya Millcom Ipo kwenye website ya serikali ya UK ukisoma hizo nyaraka kwa nini umtegemee kipenyo Kitenge??
 
Attachments

  • image_2024-09-26_110525794.png
    image_2024-09-26_110525794.png
    65 KB · Views: 4
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.

Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa wahenga. Leo asubuhi wakati wakiwa kwenye kipindi cha Good norning amewashawishi watangazaji wenzake kuacha kuisoma habari ya Lissu kushambuliwa na wasiojulikana kwa msaada wa kampuni ya simu ya tiGO. Habari waliyoacha kuichambua imeandikwa kwenye vichwa vya magazeti yote, likiwemo gazeti la mwananchi.

Sababu alizotoa ni kuwa habari hiyo ni nzito, hivyo haipaswi kwenda hewani na kwamba inaweza kuwaletea mgogoro. Lakini nimesikiliza redio zote zimeisoma na kuichambua hiyo habari isipokuwa Kitenge na wachekeshaji wenzake ndio wameiruka hii habari kama ilivyoandikwa na magazeti mbalimbali hapa chini

https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...-madai-ya-tigo-kutoa-mawasiliano-yake-4775462

Sio mara moja Kitenge kutumia uchawa wake kuacha kutangaza habari ambazo zinaigusa moja kwa moja CCM na serikali yake. Sote tunakumbuka jinsi alivyotumia Wasafi FM Radio kuzima na kupotosha suala la DP World. Na wala sio mara ya kwanza Kitenge kulaumiwa na wasikilizaji kupotosha au kulazimisha habari anazozitaka yeye.

Siku za nyuma kuna mdau mmoja alialamika hapa JF kuhusu Kitenge kuitumia Wasafi Radio kama chombo.chake binafsi kupromote mambo ya timu ya Yanga na kuididimiza Simba. Siku za karibuni tumeshuhudia akiitumia Wasafi FM kumtukana mzee Magoma, kwa sababu tu Magoma kafungua kesi halali kuishitaki Yanga. Wala hakuogopa kutumia redio kumtukana mzee Magoma hadharani, hasa ukizingatia bado kesi ipo mahakamani.

MAONI YANGU
Wasafi FM ni chombo cha habari kinachoendeshwa kibiashara. Mmiliki wa chombo hiki asipokuwa makini na kumruhusu Kitenge kikutumia kama chombo binafsi cha kutangazia mambo anayoyapenda tu, kitapoteza mwelekeo na kupotea katika tasnia ya utoaji habari. Redio itapoteza wasikilizaji na mapato kutokana na matangazo yatapungua. Hapo ndipo chawa Kitenge atakapoanza kuhangaika huku na huku akitafuta kazi kwenye vituo vingine vya redio.

Namshauri mmiliki wa redio hii amuonye Kitenge na wachekeshaji wenzake waache kutumia Wasafi FM kwa manufaa yao binafsi kabla hajavuna mabua.
Wasipoisoma wao itasomwa kwingine kwahiyo sio lazima maana vyombo vya habari viko vingi TV's, redio's, newspapers ,social media etc.
 
Na wewe Fungua kituo chako cha redio na Tv ili uwe unasoma habari zote hata Lisu akipiga chafya uwe unawaambia wasikilizaji ,.kusudi wenye kuhitaji kumchangia pesa wawe wanafanya hivyo .

CHADEMA walalamishi utafikiri watoto wa chekechea.Ruzuku mnatafuna wenyewe halafu mnataka kuwapangia watu wengine cha kufanya kwenye vyombo vyao vya habari
Tumia ubongo kufikiri
 
Back
Top Bottom