Maulid Kitenge ameigeuza radio ya Wasafi FM kuwa mali yake, ashawishi wenzake kupotezea habari ya Lissu

Kiherehere chako kimekuponza. Ni nani amekutuma usikilize radio za CCM kama Wasafi n.k wakati kuna redio stations kibao.
Nimekoma mkuu. Sirudii tena kusikiliza hii takataka.
 
Fungua redio yako ndg

Unalia lia kijinga kabisa

Unalalamika umeweka sh ngap hapo wasafi?
Mkuu usikurupuke. soma kwanza uelewe mada kabla ya kucomment. Hoja yangu haipo kwenye umiliki bali utoaji wa habari kwa usawa. Umeelewa?
 
kama kweli kaacha kusoma hiyo habari kakosea mnooo, ila kutumia redio kuipaisha yanga yuko sawa sana, watanzania wana haki ya kufahamu raha tupatazo wana yanga ili wajumuike nasi

sasa upande wa nyau atasifia nini
 
Anakera sana huyu jamaa. Habari ya Tundu Lissu kuuawa kwa msaada wa tiGO ipo very clear halafu yeye anawatshawishi wenzake waache kuirusha hewani. Maana yake nini?
Kushambuliwa.....
 
Moja ya redio ambayo siwezi kupoteza muda wangu kusikiliza ni hii redio ya Wasafi.
 
😁😁😁Kitenge, Hando na zembwela baada ya kupakwa mafuta na kuingiliwa kwa pupa kimwili na waarabu wa DP World wamekuwa kama mademu.
 
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.

Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa wahenga. Leo asubuhi wakati wakiwa kwenye kipindi cha Good norning amewashawishi watangazaji wenzake kuacha kuisoma habari ya Lissu kushambuliwa na wasiojulikana kwa msaada wa kampuni ya simu ya tiGO. Habari waliyoacha kuichambua imeandikwa kwenye vichwa vya magazeti yote, likiwemo gazeti la mwananchi.

Sababu alizotoa ni kuwa habari hiyo ni nzito, hivyo haipaswi kwenda hewani na kwamba inaweza kuwaletea mgogoro. Lakini nimesikiliza redio zote zimeisoma na kuichambua hiyo habari isipokuwa Kitenge na wachekeshaji wenzake ndio wameiruka hii habari kama ilivyoandikwa na magazeti mbalimbali hapa chini:

Lissu kuwashtaki tIGO kwa kuwasaidia waliotaka kumuua

Sio mara moja Kitenge kutumia uchawa wake kuacha kutangaza habari ambazo zinaigusa moja kwa moja CCM na serikali yake. Sote tunakumbuka jinsi alivyotumia Wasafi FM Radio kuzima na kupotosha suala la DP World. Na wala sio mara ya kwanza Kitenge kulaumiwa na wasikilizaji kupotosha au kulazimisha habari anazozitaka yeye.

Siku za nyuma kuna mdau mmoja alialamika hapa JF kuhusu Kitenge kuitumia Wasafi Radio kama chombo.chake binafsi kupromote mambo ya timu ya Yanga na kuididimiza Simba. Siku za karibuni tumeshuhudia akiitumia Wasafi FM kumtukana mzee Magoma, kwa sababu tu Magoma kafungua kesi halali kuishitaki Yanga. Wala hakuogopa kutumia redio kumtukana mzee Magoma hadharani, hasa ukizingatia bado kesi ipo mahakamani.

MAONI YANGU
Wasafi FM ni chombo cha habari kinachoendeshwa kibiashara. Mmiliki wa chombo hiki asipokuwa makini na kumruhusu Kitenge kikutumia kama chombo binafsi cha kutangazia mambo anayoyapenda tu, kitapoteza mwelekeo na kupotea katika tasnia ya utoaji habari. Redio itapoteza wasikilizaji na mapato kutokana na matangazo yatapungua. Hapo ndipo chawa Kitenge atakapoanza kuhangaika huku na huku akitafuta kazi kwenye vituo vingine vya redio.

Namshauri mmiliki wa redio hii amuonye Kitenge na wachekeshaji wenzake waache kutumia Wasafi FM kwa manufaa yao binafsi kabla hajavuna mabua.
Kitenge ni usalama kwenye tasnia ya habari, habari ndio hio
 
Na wewe Fungua kituo chako cha redio na Tv ili uwe unasoma habari zote hata Lisu akipiga chafya uwe unawaambia wasikilizaji ,.kusudi wenye kuhitaji kumchangia pesa wawe wanafanya hivyo .

CHADEMA walalamishi utafikiri watoto wa chekechea.Ruzuku mnatafuna wenyewe halafu mnataka kuwapangia watu wengine cha kufanya kwenye vyombo vyao vya habari
Unafikiri jinsi mnavyomlamba Samia viatu kila mtu ni chawa kama wewe unayelamba makalio ya mafisadi wa CCM ili mkono uwende kinywani? Umelaaniwa wewe mwehu!
 
Umewaza ushoga maana ndio kazi zako mjini

Ushapakuliwa unadhani kila mtu ni mwenzio

Dogo uwe na adabu

Unalalamika Media za watu fungua yako useme mazuri ya saccos ya kengeza
Mkuu hebu kuwa na adabu kwa members wenzako. Matusi yanonesha jinsi akili zako zilivyo.
 
Tundu Lissu kauwawa lini?
Acha kuvuta bangi
Nyie michawi na mishetani wakubwa mlitaka kumuua mkachemka. Lissu ana Mungu na nyie mna shetani. Hebu kaa mbali na watu wanaolindwa kwa damu ya Yesu na Allah.
 
Lakini nimesikiliza redio zote
According to the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Tanzania Mainland has 218 radio stations, while Zanzibar has 27.10 Jul 2024.

Uko vizuri sana.
 
Hakika. Na atakuwa anapakwa mafuta na Diamond, sio bure!
Kipindi fulani alitoka E FM akaenda Wasafi akawa anapakwa mafuta na mondi, majizo akamrudisha E FM kwa kumpa mshahara mnono lakini mwaka jana akarudi Wasafi baada ya kumisi dude la mondi akaona bora afikishwe kileleni kololiko kupewa mshara mnono.

Chezea kufikishwa kileleni weye.
 
Anakera sana huyu jamaa. Habari ya Tundu Lissu kuuawa kwa msaada wa tiGO ipo very clear halafu yeye anawatshawishi wenzake waache kuirusha hewani. Maana yake nini?
( Habari ya Tundu lisu kuuawa )

Ndio umeandika niniapo we jamaa[emoji115]
 
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.

Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa wahenga. Leo asubuhi wakati wakiwa kwenye kipindi cha Good norning amewashawishi watangazaji wenzake kuacha kuisoma habari ya Lissu kushambuliwa na wasiojulikana kwa msaada wa kampuni ya simu ya tiGO. Habari waliyoacha kuichambua imeandikwa kwenye vichwa vya magazeti yote, likiwemo gazeti la mwananchi.

Sababu alizotoa ni kuwa habari hiyo ni nzito, hivyo haipaswi kwenda hewani na kwamba inaweza kuwaletea mgogoro. Lakini nimesikiliza redio zote zimeisoma na kuichambua hiyo habari isipokuwa Kitenge na wachekeshaji wenzake ndio wameiruka hii habari kama ilivyoandikwa na magazeti mbalimbali hapa chini:

Lissu kuwashtaki tIGO kwa kuwasaidia waliotaka kumuua

Sio mara moja Kitenge kutumia uchawa wake kuacha kutangaza habari ambazo zinaigusa moja kwa moja CCM na serikali yake. Sote tunakumbuka jinsi alivyotumia Wasafi FM Radio kuzima na kupotosha suala la DP World. Na wala sio mara ya kwanza Kitenge kulaumiwa na wasikilizaji kupotosha au kulazimisha habari anazozitaka yeye.

Siku za nyuma kuna mdau mmoja alialamika hapa JF kuhusu Kitenge kuitumia Wasafi Radio kama chombo.chake binafsi kupromote mambo ya timu ya Yanga na kuididimiza Simba. Siku za karibuni tumeshuhudia akiitumia Wasafi FM kumtukana mzee Magoma, kwa sababu tu Magoma kafungua kesi halali kuishitaki Yanga. Wala hakuogopa kutumia redio kumtukana mzee Magoma hadharani, hasa ukizingatia bado kesi ipo mahakamani.

MAONI YANGU
Wasafi FM ni chombo cha habari kinachoendeshwa kibiashara. Mmiliki wa chombo hiki asipokuwa makini na kumruhusu Kitenge kikutumia kama chombo binafsi cha kutangazia mambo anayoyapenda tu, kitapoteza mwelekeo na kupotea katika tasnia ya utoaji habari. Redio itapoteza wasikilizaji na mapato kutokana na matangazo yatapungua. Hapo ndipo chawa Kitenge atakapoanza kuhangaika huku na huku akitafuta kazi kwenye vituo vingine vya redio.

Namshauri mmiliki wa redio hii amuonye Kitenge na wachekeshaji wenzake waache kutumia Wasafi FM kwa manufaa yao binafsi kabla hajavuna mabua.
Fukuza kitenge hapo
 
Back
Top Bottom