Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Wamerud na ule msemo wao

#huumchezohauhitajihasira
 
Hawa walikuwa na mkataba wa muda kukuza kipindi cha michezo wasafi
Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa hivyo kwa maandishi ya majizo instagram inaonesha maulidi alienda wasafi kwa kazi maalumu tu na ni hiyo kukuza kipindi cha michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…