wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Amemaindi orest kawau kwenda pale bado zembwela nae hasikiki kabisa bora angerudi hata efm.Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
View attachment 1881647
View attachment 1881665