Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Halafu kaanzisha Kitenge TV. Na pale Wasafi hawaruhusiwi kuwa na online tv zao.Nadhani ameondoka kwasababu ya maslahi,kuna malalamiko hizi EFM NA WASAFI mishahara inachelewa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kaanzisha Kitenge TV. Na pale Wasafi hawaruhusiwi kuwa na online tv zao.Nadhani ameondoka kwasababu ya maslahi,kuna malalamiko hizi EFM NA WASAFI mishahara inachelewa sana
Halafu kaanzisha Kitenge TV.Na pale Wasafi hawaruhusiwi kuwa na online tv zao.
Tena anaenda kuwa na cheo kikubwa paleAnarudi Mziki Unongeaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe mahaba yako huwa unayaweka nyuma?Mulid ni mswahili kama Manara professionalism hana. Huwa anjishau na kuweka mahaba yake mbele.
Na mishara yenyewe ndo hii Kama Ile Ile ya ManaraHalafu kaanzisha Kitenge TV.Na pale Wasafi hawaruhusiwi kuwa na online tv zao.
Na juz naona kamhoj bilnas au kwakuaLilommy mbona kafufua yake juzi kamuhoji Nandy
Aiseeee Yule dogo hapana shafiiWasafi Wamchukue yule dogo wa Clouds, Farhan.
He is the best.
Amepata kazi VOA, Marekani.
Ok asante kwa taarifaAmepata kazi VOA, Marekani.
Mbona Lily Ommy anayo, yule jamaa nilisikia japo sihathibitisha anahamia huko US sijajua kapata kazi gani.Halafu kaanzisha Kitenge TV. Na pale Wasafi hawaruhusiwi kuwa na online tv zao.
Dogo anafact na anafanya utafiti......hawa wengine wanabwabwaja tuAiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale
Amepata kazi VOA, Marekani.
Karud kwa majjizo EfmMbona Lily Ommy anayo, yule jamaa nilisikia japo sihathibitisha anahamia huko US sijajua kapata kazi gani.
Sehemu yoyote ukiondoka kwa aman kurudi ni kugusa tu
Kama ni hivyo itakuwa vizuri zaidi aende kimataifa maana sasa ana uzoefu wa kutoshaInasemekana eti anaelekea BBC
Kumshushushu naniKamaliza ushushushu usafini[emoji23][emoji23]
Okey biashara hii naona Majizo kampandia dau. Ndio uzuri wa kujiamini hasa ktk kile ukifanyacho,kwani mwisho wa siku wewe ndio mwenye maamuzi.Karud kwa majjizo Efm