Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah Madau yanatangazwaga kwa mbwembwe kweli😂😂😂Baada ya kuwalipa hao ma giants hawa wakina pangu pa kavu tia mchuzi wanapata laki tatu nayo unaweza uisubiri miezi 2-3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah Madau yanatangazwaga kwa mbwembwe kweli😂😂😂Baada ya kuwalipa hao ma giants hawa wakina pangu pa kavu tia mchuzi wanapata laki tatu nayo unaweza uisubiri miezi 2-3.
Halafu kaanzisha Kitenge TV. Na pale Wasafi hawaruhusiwi kuwa na online tv zao.
Orest ana tatizo gani kwani?Amemaindi orest kawau kwenda pale bado zembwela nae hasikiki kabisa bora angerudi hata efm.
Management by walking around..
Kusoma magazeti yeye akiwa hayupo alizoea akiwa majuu huko bado kitengo anaunganishiwa anasomaOrest ana tatizo gani kwani?
MBWAManagement by walking around..
kwani wasafi alikuwa abaongea nini?BBC ATAONGEA NINI?? AU NDO ATAANZA KUJIFUNZA?
Hakuhama nayo ila alienda kuanzisha nyingine paleHaikufa bali mwanzilishi alihama nayo. Ngoja tuone kama itaendelea kule wasafi au itakuwa ndio mwisho wake kama ilivyokuwa kwa EFM
Kumshushushu nani
MBWAManagement by walking around..
Yeye ndo mkurugenz wa vipind pale Kwa sasa Kama skosey ilaha hata Kama sioKwani Shafih ni nani pale Clouds?
Aiseeee dogo Yuko vzr Sana YuleAf Farhan kumbe kabwana mdogo tu kamemaliza a-level 2017..Dogo ana logic sana.
Hiki kiwanda cha uchambuzi kinazalisha wat kama farhan mara chache sana..Aiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale
Shaffih ndo Program managerYeye ndo mkurugenz wa vipind pale Kwa sasa Kama skosey ilaha hata Kama sio
Hvo bado anacheo pale ila sikumbuki
Yuko kitengo gani
Mtangazaji anaelipwa pesa nyingi ni gadner tu dili lake lakurudi clouds nafkiri n kwenye mili6..Inamaanisha Anakula 500,000 kwa siku
Mshahara wa walimu 30 wanaolipwa 500,000. Shule msingi INA walimu 20 mpka 25 inatosha mshahara pamoja na mlinzi mpishi. Chenchi zinazobaki zinatosha mabox mia ya chaki.
Kweli maisha hayanaga maana halisi.