Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Baada ya kuwalipa hao ma giants hawa wakina pangu pa kavu tia mchuzi wanapata laki tatu nayo unaweza uisubiri miezi 2-3.
Hahahahah Madau yanatangazwaga kwa mbwembwe kweli😂😂😂
 
Uliposhadidia na kushabikia ugomvi/mgogoro Kati ya manara na CEO wa Simba huku na ukachagua kuegemea kwa manara huku na wewe ukiwa CEO hivi unaamini ulichanga vizuri karata zako?!
Haya sasa nguvu ya karma kitenge nae kakisanua kwako je waliomfuata kitenge huko usafini nao waache kusikiliza radio yako?
Jaribuni kujiepusha kujiweka kwenye mtanzuko hasa nyie wakubwa.
 
Haikufa bali mwanzilishi alihama nayo. Ngoja tuone kama itaendelea kule wasafi au itakuwa ndio mwisho wake kama ilivyokuwa kwa EFM
Hakuhama nayo ila alienda kuanzisha nyingine pale
 
Af Farhan kumbe kabwana mdogo tu kamemaliza a-level 2017..Dogo ana logic sana.
Aiseeee dogo Yuko vzr Sana Yule
Yani alipopata bahat ya kungia clouds
Anaitendea haki kwakweli

Namuona Millard Ayo wa pili ajae
 
Aiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale
Hiki kiwanda cha uchambuzi kinazalisha wat kama farhan mara chache sana..
Dogo anajitahidi sana..
Shaffih hawez kukubali kweli bora amtoe yule priva.
 
Inamaanisha Anakula 500,000 kwa siku

Mshahara wa walimu 30 wanaolipwa 500,000. Shule msingi INA walimu 20 mpka 25 inatosha mshahara pamoja na mlinzi mpishi. Chenchi zinazobaki zinatosha mabox mia ya chaki.

Kweli maisha hayanaga maana halisi.
Mtangazaji anaelipwa pesa nyingi ni gadner tu dili lake lakurudi clouds nafkiri n kwenye mili6..
Hakuna anaezidi hapo..
Tena gadner kawazidi wenzie mbali mnoo,
Hii hela clouds walimpa kumtoa times wamrudishie sbbu kipindi cha jahazi kilikua kinakufa.
 
Back
Top Bottom