Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Mtangazaji anaelipwa pesa nyingi ni gadner tu dili lake lakurudi clouds nafkiri n kwenye mili6..
Hakuna anaezidi hapo..
Tena gadner kawazidi wenzie mbali mnoo,
Hii hela clouds walimpa kumtoa times wamrudishie sbbu kipindi cha jahazi kilikua kinakufa.
Clouds....times.....efm.....clouds
 
"Waalii Bila chumvee haunogee ,Papaaa Maulidi Kitengee,Mbele naumona Babuuuuu Zembwelaaaaaaaa".
 
Back
Top Bottom