GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni GrossNet.Hiyo mishahara ni gross au net
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni GrossNet.Hiyo mishahara ni gross au net
Umeuliza Kinafiki nimekujibu Kidharau.Genta, ndio kitu gani hicho?
Vv
Wasafi wanamchukua ''Takataka'' ndio maana Maulidi kaamua aondoke zake.Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
View attachment 1881647
View attachment 1881665
Au Privaldinho yuko njema piaWasafi Wamchukue yule dogo wa Clouds, Farhan.
He is the best.
Kifupi MwaaManagement by walking around..
Clouds....times.....efm.....cloudsMtangazaji anaelipwa pesa nyingi ni gadner tu dili lake lakurudi clouds nafkiri n kwenye mili6..
Hakuna anaezidi hapo..
Tena gadner kawazidi wenzie mbali mnoo,
Hii hela clouds walimpa kumtoa times wamrudishie sbbu kipindi cha jahazi kilikua kinakufa.
Correct mkuu,,..Clouds....times.....efm.....clouds
Zembwela hawezi kutoka pale kwa kuwa hakuna anayemtaka.Bado zembwela
RasmiAnaungana na Manara?
Nalog off
Pale mishahara wanalipwa kwa M-pesa