Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi wa hiyo kauli?Tujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
Nani ambaye hakutarajia?Asubuhi unasema "...hilo lilitarajiwa " kuhusu ushindi wa CCM.
Sidhani kama maadili yako ya kazi yanakuruhusu kuonyesha unazi hadharani kwenye media yenye diversity of audience. Rejea maadili yako ya kazi
Wewe unaishi wapi?Sasa unadhani ni Jambo la kutunga?Ndo hivo.Una ushahidi wa hiyo kauli?
Una ushahidi wa hiyo kauli?
Mama yake nani Sky Eclat ?Nimesikia mama mzazi yuko ICU
bibi! labda ni tangu alivyompoteza binti yake MonicaKichaa wetu
Tuwekee na video clip mzee matomaso wako wengiTujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu