sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Kwa sasa ccm na chadema ni sawa na man u na yanga.Soma tena uzi fananisha na ulichoandika. Soma uelewe vizuri,usikurupuke
Kama hutaki endelea kutoa povu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa ccm na chadema ni sawa na man u na yanga.Soma tena uzi fananisha na ulichoandika. Soma uelewe vizuri,usikurupuke
Tofautisha mpira na politics weweManchester ikicheza na yanga kisha ukasema manchester ikashinda. Mtangazaji akisema hilo lilitarajiwa. Inamaana mtangazaji amekiuka maadili???
muwekee na klipu yake huyu poyoyo aone asikie anaweza kujifanya hajui kusomaTujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
Bravo Mkuu...kwa mtu mwelewa hyo sentensi ni tusi na kejeli kubwa sana kwa CCM.
Ina maana wewe hukutarajia? Uwanja wao, mashabiki wao, refa wao, kocha wao.... Yaani hukutarajia washinde? Haupo seriousAsubuhi unasema "...hilo lilitarajiwa " kuhusu ushindi wa CCM.
Sidhani kama maadili yako ya kazi yanakuruhusu kuonyesha unazi hadharani kwenye media yenye diversity of audience. Rejea maadili yako ya kazi
sahihiSawa,basi acha iwe hivyo
DaahTujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
Yaani umekasirika mpaka umemfungulia thread!Asubuhi unasema "...hilo lilitarajiwa " kuhusu ushindi wa CCM.
Sidhani kama maadili yako ya kazi yanakuruhusu kuonyesha unazi hadharani kwenye media yenye diversity of audience. Rejea maadili yako ya kazi
ripNimesikia mama mzazi yuko ICU
Mkuu wachache sana wenye uwezo huo japo ni rahisi sana kujua kitenge kamaanisha nnkwa mtu mwelewa hyo sentensi ni tusi na kejeli kubwa sana kwa CCM.