Maulid Kitenge ficha ushabiki wako

Maulid Kitenge ficha ushabiki wako

Tujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
muwekee na klipu yake huyu poyoyo aone asikie anaweza kujifanya hajui kusoma
 
Siku tukikutana JF members, lazima ntaondoka na koromeo la mwana ufipa mmoja. Hawa watu mbona wajinga wajinga?
 
fatilia kazi yake na sio maisha yake binafsi
mtoa mada pole sana.
 
Bravo Mkuu...

You are a great thinker.

Mtoa mada uwezo mdogo..
We uwezo wako nae kama wangu tu,kazi kumsifia mwanaume,learn to be independent,give out yours sio kupiga makofi tu.
 
Asubuhi unasema "...hilo lilitarajiwa " kuhusu ushindi wa CCM.

Sidhani kama maadili yako ya kazi yanakuruhusu kuonyesha unazi hadharani kwenye media yenye diversity of audience. Rejea maadili yako ya kazi
Ina maana wewe hukutarajia? Uwanja wao, mashabiki wao, refa wao, kocha wao.... Yaani hukutarajia washinde? Haupo serious
 
Nampongeza kwa kuongea ukweli kwani haikutarajiwa? Au maadili ya uandishi wa habari hayaruhusu kuongea ukweli?
 
Tujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
Daah
 
Asubuhi unasema "...hilo lilitarajiwa " kuhusu ushindi wa CCM.

Sidhani kama maadili yako ya kazi yanakuruhusu kuonyesha unazi hadharani kwenye media yenye diversity of audience. Rejea maadili yako ya kazi
Yaani umekasirika mpaka umemfungulia thread!
Mbona bavicha wenzako wanasema ilitarijiwa kwa sababu tume na polisi ni vya ccm?
Jifunze kupokea habari mbaya masikioni na kuziyeyusha,sio kila ukilisikia unakasirika,utapata kisukari kamanda
 
kwa mtu mwelewa hyo sentensi ni tusi na kejeli kubwa sana kwa CCM.
Mkuu wachache sana wenye uwezo huo japo ni rahisi sana kujua kitenge kamaanisha nn
 
Back
Top Bottom