Maulid Kitenge ficha ushabiki wako

Maulid Kitenge ficha ushabiki wako

Tujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
 
Hata Mbowe alitegemea ushindi WA CCM

Msimalize hasira zenu Kwa Kitenge

Kama hasira wapelekeeni walioteua Wagombea wenu 2015
 
Tujikumbushe pia hotuba mojawapo aliyotoa Jiwe kwa hawa wateule wake DED's ambao ni makada wakubwa wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi zetu "nimekuteua wewe ninakupa gari nzuri ya kutembelea, nyumba bora ya kuishi na mshahara mnono na marupurupu kibao, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda katika eneo lako....... Mwisho wa kunukuu
Una ushahidi wa hiyo kauli?
 
Tuwekee na video clip mzee matomaso wako wengi
 
Back
Top Bottom